Recent content by Geru

  1. G

    Hali mbaya: Makampuni ya simu yaanza kupunguza wafanyakazi. ITV yasogeza mishahara mbele

    Wanandugu Hali Ni Mbaya makampuni mengi sana na siyo yote yanayojitangaza Lakini watu wanapunguzwa sana kazi. Tatizo Ni kuwa biashara imeshuka sana na siku zote mfanyabiasha anachoangalia Ni faida Kwa hiyo sehemu ya kwanza kukimbilia Ni kupunguza wafanyakazi. Kwahiyo tuache vijembe visivyokuwa...
  2. G

    Kima cha chini cha mshahara kwa CPA(T) without experience

    Tuwe serious kidogo, CPA bila experience hamna kitu na kwenye private sectors determinate Ni performance Na hii yakuanza kuulizia mishahara utapata kichaa maana kuna watu hawana hiyo CPA Na take home yao Ni above 5 million, malizia mwenyewe CPA kwenye hiyo kampuni analipwa bei gani! Bottom line...
  3. G

    Kwa kifungo cha chini ya miaka 7 kwa ufisadi wa Tshs 1 bilioni, niko tayari kwenda jela

    Kwa hiyo na watoto wako nao ni wezi? Si sahihi kusema Tanzania kila mtu ni mwizi, Tafadhali futa kauli!
  4. G

    Kafulila: Mzushi wa MCC na Escrow

    Hatudanganyiki
  5. G

    WACHAGA WAAIBIKA LEO Tbc

    Kakojoe ukalale!
  6. G

    Ushahidi wa sms za m-pesa kutoka kwa kapuya kwenda kwa binti

    Waombe Watanzania radhi huwezi kutufananisha na ubongo wa kuku, labda wewe mwenyewe na wala usijaribu ku-generalize.
  7. G

    Simba SC v Young Africans SC

    The Champions full stop!
  8. G

    Ubora wa Shahada za Uzamili kutoka Chuo Kikuu Mzumbe

    Wameanza kutoa masters tokea ikiwa IDM, that is 1990's kwa hiyo hakuna rapid transformation hapo. Jua historia ya Mzumbe kwanza kabla ya kuanA comments zenu za kuangalia Chuo kipi zaidi. Ok fine how about IFM??
  9. G

    Ukimya wa upinzani katika Matukio yanayotokea nchini, kulikoni?

    Ndugu yangu naomba uniwekee hapa matamko yote ya vyama vya upinzani yaliyotolewa kuhusu hizi vurugu ukianzia na tlp, nccr, cuf,etc kabla hujaanza kuinyoshea vidole chadema.
  10. G

    Baada ya kikao na IGP Mwema, Dr. Slaa Alonga

    Magwepande...
  11. G

    Huyu ndiye kijana aliyepoteza maisha kwenye mvutano baina ya police na CHADEMA

    Watanzania wajinga ni wachache siku hizi na kwa taarifa yako hatudanganyiki. CCM na vyombo vyote vya usalama ndio janga la taifa hamtaki kusoma alama za nyakati.
  12. G

    Morogoro: Viongozi wa CHADEMA wakamatwa na polisi, vurugu zaibuka!

    Wewe juha nini?, waliouwa ni Chadema au polisi?
  13. G

    Chadema, Igunga Itufunze kuwa na heshima

    Ama kweli nyani haoni kundule, DK Hussein Mwinyi mtoto wa raisi mstaafu mwinyi, January Makamba mtoto wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, Vita Kawawa???, Malima???, nk.........
  14. G

    Hii ni kwa wanawake wanaokaa dar tuu

    We mjinga nini? Nyumba yangu unataka demu wangu nimpeleke wapi? Guest? Common, wewe umesoma chuo gani ambacho hujawahi kupigwa exile!
Back
Top Bottom