Baada ya kikao na IGP Mwema, Dr. Slaa Alonga

Km haupo uwanjani basi sorry mm nilifikiria ni mchezaji na sisi ni washangiliaji /mashabiki kumbe wote ni mashabiki tunatiana mabuti jukwaani wakati wchezaji wanakosa mabao nakuuana
sipo kwenye tukio mkuu,ama ulimaanisha kitu gani?maana naona unamix madawa hapa.
mkuu umeokota wapi hitarifa? acha kiherehere
quote_icon.png
By OKW BOBAN SUNZU
Kiherehere cha nini, kwa nini usisubiri Tumaini Makene atupe ripoti kamili na ubaki kama mchangiaji tu
 
Km haupo uwanjani basi sorry mm nilifikiria ni mchezaji na sisi ni washangiliaji /mashabiki kumbe wote ni mashabiki tunatiana mabuti jukwaani wakati wchezaji wanakosa mabao nakuuana

quote_icon.png
By OKW BOBAN SUNZU
Kiherehere cha nini, kwa nini usisubiri Tumaini Makene atupe ripoti kamili na ubaki kama mchangiaji tu
Sijakuelewa kabisa,samahani.
 
unapotoa taarifa toa taarifa za kweli,epuka kumuwekea mtu maneno.
Mf.taarifa uliyotoa si jinsi ilivyo,sinauhaki kama amesitisha M4C kwa sababu ulizotoa.
Note;anayepaswa kuripoti taarifa ya Dr najua ni makene kwani ndiyo department yake.

Kuna watu wanalaana hapa,midomo yao yao haina meter ya Luku.
Wee mama, maneno ni pesa lakini kukaa kimya ni dhahabu....chunga kauli zako mama!
Kama huwezi kuchangia kwa hoja mzuri ningekushauri ni bora uwe msomaji tu....mzee na viongozi wengine wanatosha
wewe hangaika na majukumu mengine ya kifamilia....acha watu wajenge chama. Ni mtizamo wangu tu lakini.
 
Ni wakati wa kutafakari kwa kina juu ya mwenendo mzima wa mahusiano ya vyama vya siasa na serikali. Pamoja na mambo yote, ninachoumizwa nacho ni suala la mauaji, msiba huu umeacha mjane na watoto wanne. Ninawaza kwa kina, ninatafakari ugumu kwa familia, ninaumizwa na suala la watu kutoona thamani ya maisha kwa sababu ya maslahi binafsi.
NI WAKATI AMBAPO PASIPO SIMILE LAZIMA TUCHUKUE HATUA ZINAZOPASWA. chelea chelea-utakuta mwana si wako.
 
kuna watu humu wanafikiria kwa kutumia matumbo dakta slaa ni mwelewa sana shida c.c.m wanatoa maagizo toka ikulu kuwazuia chadema kufanya siasa baada ya kulialia bila mafanikio nyimbo za udini, ukabila, ukanda na vita. sasa wamehamia kutumia polisi.soma taarifa ya CNN UTAELEWA VIZURI
 
Makene by this time ilipaswa awe kashajitokeza na kutuwekea yaliyojiri kama alivojulisha kuanza kwa mazungumzo, yuko wapi? nn maana ya ukimya huu sasa
 
Asema baada ya mazungumzo na IGP wamekubali kusitisha mikutano yao ya M4C kwa muda wa siku 3, ili kupisha zoezi la sensa kukamilika kutokana na muda ulioongezwa,

Je kampeni za BUBUBU nazo zitasimamishwa?
 
Sasa Dr.Slaa, kumbe kelele za bure kwa nini sasa toka mwanzo usikubali mpaka mtu kapoteza maisha ndio umekubali siasa bana....Mkuu chama ebu njoo uone kituko.

Mkuu Ritz. Unajua kosa ni pale IGP Mwema alipompigia simu kistaarabu kumuomba asitishe maandamano Dr. Slaa akajua Mwema na vijana wake wanajinyea Slaa akataka kuchukua pointi za kisiasa; jiulize kawaida sehemu yenye vurugu si wanapelekwa polisi wa kawaida wanaposhindwa ndio vijana FFU wanapelekwa; sasa ilikuwaje IGP akapeleka FFU? Zile ni salamu pale kichapo kilikuwa cha mwana ukome bahati mbaya kamanda Mwangosi (R.I.P) kakutana na mauti; yote haya kwa sababu ya mwanasiasa ubwabwa Dr. Slaa; unaweza kukuta hata hao waliokwenda kufunga tawi si wakazi wa Mufindi.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
ndugu napata taabu kuwaelewa wana CCM mlioko ktk mitandao ya kijamii kama mnatumiwa na baadhi ya watu ktk chama na serikali kuondoa credibility iliyosalia ya utawala wa Kikwete,kama wanavyofanya baadhi ya watendaji serikalini mfano mzuri ikiwa ni mauaji haya ya juzi. Usiku wa leo nimebahatika kukaa na kuongea na baadhi ya viongozi wa zamani na wa sasa ktk mazungumzo ya kupata kinywaji na stori za hapa na pale. Hawa viongozi wamehuzunishwa sana na tukio la juzi. Na wanasema wazi makosa ni ya Polisi na baadhi ya wanasiasa wenzao wanaoingilia utendaji wa Polisi. Sasa ninapoingia humu nikakuta maoni kama yako,najiuliza huyu ni CCM ya kundi lipi?! I hope wewe unajifahamu unatumikia CCM ya kundi gani.
 
Hivi wewe ni mwanaharam ama kibaka? Kila siku lugha zako zinakera sana,jiandae kupata threads zitakazokukera ww tuone kama utafurahi.
 
Makene by this time ilipaswa awe kashajitokeza na kutuwekea yaliyojiri kama alivojulisha kuanza kwa mazungumzo, yuko wapi? nn maana ya ukimya huu sasa
labda na yeye wamesha mdondoshea kitu kizito kutoka angani coz kufanya kazi karibu na police unakaribisha kifo kwa asilimia nyingi, mwambie jamaa avae bullet proof
 
ndugu napata taabu kuwaelewa wana CCM mlioko ktk mitandao ya kijamii kama mnatumiwa na baadhi ya watu ktk chama na serikali kuondoa credibility iliyosalia ya utawala wa Kikwete,kama wanavyofanya baadhi ya watendaji serikalini mfano mzuri ikiwa ni mauaji haya ya juzi. Usiku wa leo nimebahatika kukaa na kuongea na baadhi ya viongozi wa zamani na wa sasa ktk mazungumzo ya kupata kinywaji na stori za hapa na pale. Hawa viongozi wamehuzunishwa sana na tukio la juzi. Na wanasema wazi makosa ni ya Polisi na baadhi ya wanasiasa wenzao wanaoingilia utendaji wa Polisi. Sasa ninapoingia humu nikakuta maoni kama yako,najiuliza huyu ni CCM ya kundi lipi?! I hope wewe unajifahamu unatumikia CCM ya kundi gani.

Endelea kupata kinywaji ukweli utabakia kama ulivyo na hakuna mtu mwenye akili timamu ambaye amefurahia kifo cha Mangosi; mimi natumikia ukweli CCM ni chama changu amabacho nakubaliana na sera zake.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Wee mama, maneno ni pesa lakini kukaa kimya ni dhahabu....chunga kauli zako mama!
Kama huwezi kuchangia kwa hoja mzuri ningekushauri ni bora uwe msomaji tu....mzee na viongozi wengine wanatosha
wewe hangaika na majukumu mengine ya kifamilia....acha watu wajenge chama. Ni mtizamo wangu tu lakini.

Usimtishe mkuu! Wewe umeridhika na jinsi taarifa ilivyotolewa? Acha hizo bwana!
 
Ni wakati wa kutafakari kwa kina juu ya mwenendo mzima wa mahusiano ya vyama vya siasa na serikali. Pamoja na mambo yote, ninachoumizwa nacho ni suala la mauaji, msiba huu umeacha mjane na watoto wanne. Ninawaza kwa kina, ninatafakari ugumu kwa familia, ninaumizwa na suala la watu kutoona thamani ya maisha kwa sababu ya maslahi binafsi.
NI WAKATI AMBAPO PASIPO SIMILE LAZIMA TUCHUKUE HATUA ZINAZOPASWA. chelea chelea-utakuta mwana si wako.

Sheky hakika uliyosema ni sawa kabisa. Kama kweli serikali na vyama vyote vya siasa pamoja na wadau wengine, vinaitakia nchi hii amani ya kweli, ni vema waangalie kwa undani usalama na haki za msingi za watanzania. Kinachoendelea sasa ni aibu na inaleta wasiwasi sana juu ya mstakabali wa taifa. Polisi na maboomu yao wanatumia silaha zinazonunuliwa kutokana na kodi ya wananchi kuwauwa bila hatia. Hii itasababisha chuki kwa serikali yao jambo ambalo si jema.
 
Kwaiyo maisha ya jamaa yamepotea hivi hivi tu, alikua wapi kusubiri? Je anaona faida ya lolote na liwe? Kwakweli nimemzarau kabisa huyu mzee.

nyie ni dhaifu kweli kwani muandishi ameuawa akiwa kazini kwani cdm wanahusika nini
 
Back
Top Bottom