Ninayo nauza kahawa full time karibuni kijiweni.Kumbe huna kazi....sasa nmeelewa
Sawa, ndio tunavyotaka....Ndio Mkuu uchumi unakua..
Uchumi wa Viwanda.
Serikali haiwezi punguza wafanyakazi kumbuka kuna waliorudishwa kupisha uhakiki jua wafanyakazi hawatoshiSijui kama Raisi anaona hilo ni tatizo!!Hili ni tatizo kubwa taasisi ya uraisi iliyo makini wangekuwa wameshalishughurikia ili swala,madhara yake ni makubwa huko mbele maana serekali inategemea mapato toka sekta binafsi kwa hiyo zikiyumba huko mbele serekali nayo itabidi ipunguze wafanyakazi maana haitaweza walipa mishahara
Itakua ur not potential and u have no input to the company... So ongeza elimu na creativity ili utakapopapata usiwe retreanched.Ni kweli mimi mwenyewe ni miongoni mwa waliopunguzwa.....
Ndicho alicho ahidi kwenye kampeni..Sawa, ndio tunavyotaka....
tupo kwnye fursa nyingine sasa na life linasonga.Poleni sana kwa mliopunguzwa!
Muombeni Mungu zaidi huenda kuna kubwa zaidi kawaaandalia kwani maandiko yanasema mlango mmoja wa neema ukifungwa hufunguliwa milango sabini ya neema.
Dahhhh pole.sana.i can feel it....umenikumbusha mbali sana mwaka 2012 aisehhh ...ila mungu ni mwema jamani katika israel...Ni kweli mimi mwenyewe ni miongoni mwa waliopunguzwa.....