Kima cha chini cha mshahara kwa CPA(T) without experience

Kima cha chini cha mshahara kwa CPA(T) without experience

Swala sio CPA.....Je utaleta ufanisi gani?isije ikawa CPA za ana ana do
 
Sure swala ni uwezo wako wa kufanya kazi maana wako mpaka maprofesor ambao ni fyenge tu.
Eti unamuajiri Prof. Albert Eisenstein na 'Prof. bwna yule' alafu unalazimishwa kuwalipa mishahara sawa! So fun.
 
Tuwe serious kidogo, CPA bila experience hamna kitu na kwenye private sectors determinate Ni performance Na hii yakuanza kuulizia mishahara utapata kichaa maana kuna watu hawana hiyo CPA Na take home yao Ni above 5 million, malizia mwenyewe CPA kwenye hiyo kampuni analipwa bei gani! Bottom line tujitume then reward will follow, sio kuwa ndio umepata CPA experience huna unataka mshahara mkubwa. Subira inavuta heri.
 
nimegundua humu watoto wengi sana.

na wengi wenu hamjawahi kuajiriwa kwenye corporates na kuona mfumo wa formal sector ulivyo.

sikilizeni kwa makini vijana. msijidanganye.

mshahara haupangwi kutokana na elimu uliyonayo. bali unapangwa kutokana na position scale.

hata kama wewe ni profesa. kama kwenye kampuni ukipangiwa kufanya kama secretary wa bosi. basi utalipwa mshahara wa level ya secretary wanavyolipwa.

hata kama wewe ni darasa la saba. kwenye kampuni ukiajiriwa kama ceo.. hapo utalipwa mshahara kwa scale ya ceo ilivyopangwa..

ukiwa bank teller hata uwe na master, cpa sijui phd.. utalipwa kwa scale ya bank teller.

inshort mshahara unapangwa kutokana na cheo ulichonacho. au kazi unayoifanya salary scale yake ni shilingi ngapi.
Kweli wewe ni mtu mzima sasa, maana hayo uyasemayo yalikuwa zamani. Hv sasa elimu na ujuzi vinazingatiwa.
 
hebu acheni utoto jamani siku hizi demand ya CPA imeshuka sana tofauti na zamani,nawajua CPA Holder kibao bado wapo kitaani wanabangaiza tu,miaka ya nyuma ilikuwa ni nadra sana kukuta halmashauri kuna hawa watu ila siku hizi wapo tele wamejaaa.
pia mshaara unategemeana na kampuni inatengenezaje faida hasa huku kwenye private sector ila serikalini unaweza ukapigwa TGS D,PGS 12-14 nk hii ni kwa wanaoanza kazi bila uzoefu
Zamani NABOCE ilikuwa dili,dah tunetoka mbali.
 
inawezekana ukawa sahihi kutokana na waliokuzunguka. Mimi ndani ya mwezi huu nimeenda interview 5 na zote walikuwa wanataka CPA(T). Hii kitu ma company makubwa na yale ya kizungu CPA(T) ni deal sana.
Wasomali na waarabu ndio hawa i value kwa sababu mishahara midogo.
UKIWA NA CPA NA UKAJUA KUITUMIA NI MSAADA KWAKO.
MPAKA SASA KUNA CPA(T) SIO ZAIDI YA 6000. WENGINE WAMESHASTAAFU NA WENGINE WAMEHAMA FIELD.
WASIO NA CPA NDIO WANASEMA HAINA DILI, NASHUKURU MUNGU CPA INANISAIDIA NA NINAONEKANA MUHASIBU NILIYEKAMILIKA.
NA UKIWA NA UZOEFU NDIO ALMASI MCHANGANI
Sasa na wewe ulihabgaika kusoma ya nini wakati picha yako ipo kwenye pesa ya kingdom yenu ya ZAMUNDA,na hata baba yako alishangaa kusikia eti umeajiriwa pale MC DOLLS hotel wakati dhabau za mikufu yenu tu ungeweza kununua kisiwa.
 
Tunashindwa kuelewa CPA haifanyi kazi anaye fanya kazi ni Mtu..
walio wengi ambao wana CPA alafu hawana kazi ni wale watoto wa college waliounganisha wana lack experience, walio wajanja wanaomba intership mda kidogo tu wanakuwa lulu,, kama una CPA usijirahisishe kabisa arifu,
omba hata 4M net
:smile-big::embarassed2:
Wapotoshe tu,kazi zenyewe ziko wapi,wewe huenda ulipewa ki-note.
 
Izo firm za government au private? weka bayana swali lako mishahara maana haiko sawa kati ya private na serikali
 
Sasa na wewe ulihabgaika kusoma ya nini wakati picha yako ipo kwenye pesa ya kingdom yenu ya ZAMUNDA,na hata baba yako alishangaa kusikia eti umeajiriwa pale MC DOLLS hotel wakati dhabau za mikufu yenu tu ungeweza kununua kisiwa.

Hahhahaha. We jamaa fala sana. Niliamua kujaribu na kwenye elimu ila usimuambia mshua
 
asante.. swali sogo bungeni kuna mbunge maji marefu la saba na mbunge profesa tibaijuka.. je wanalipwa mishahara tofauti??

nenda crdb au nmb kuna ma tellor kibao wana masters na kuna wengine wameingia na diploma tu au form 6.. fanya research kama wanalipwa mshahara tofauti..

narudia tena cheo ndio kinaamua mshahara wako sio vyeti

Kweli wewe ni mtu mzima sasa, maana hayo uyasemayo yalikuwa zamani. Hv sasa elimu na ujuzi vinazingatiwa.
 
Back
Top Bottom