Recent content by geofizor

  1. geofizor

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya dhahabu Botswana

    Mpaka leo jamaa hajaja duuh
  2. geofizor

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania imezuia madereva wa Kenya kuingia nchini humo

    Kidogo kidogo tuu..tutaelewana.. kazi iendelee
  3. geofizor

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya wanafanya propaganda chafu kwenye msiba wa Rais Magufuli

    Soon mama etu akikaa sawa,, ata wapa majibu ya kuzuia mahindi yetu,, tuta wapiga zaidi ya jana,,
  4. geofizor

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gharama ya usafirishaji wa mizigo kwenye bandari ya Dar es Salaam yawa chache zaidi kuliko Mombasa

    Gharama ya usafirishaji wa mizigo kwenye bandari ya Dar es Salaam yawa chache zaidi kuliko Mombasa Habari zinasema gharama ya kusafirisha mizigo kutoka bandari ya Dar es Salaam hadi Bujumbura imekuwa dola 1.80 za kimarekani kwa kilomita moja,ambapo gharama za kusafirisha kutoka bandari ya...
  5. geofizor

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dunia inakuja nchini Kenya

    Alish ababu vipiiii
  6. geofizor

    JamiiForums Tanzania Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

    The bold dondosha muendelezo
  7. geofizor

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Victor Wanyama and friends sees Tanzania as the best place to spend their Holiday.

    Magu anatumia fursa kwa wakati.. wakati alshababu wanaichapa na kuichafua kenya kimataifa kwa kuonekana sio sehemu salama.. sisi huku tuna ongeza madege tuu na kuboresha kila kilichokuwa hakipo ili watalii waje kwa wingi na huyu jamaa yetu magu hataki mchezo kabisa na tz yake.. viva tz viva...
  8. geofizor

    JamiiForums Tanzania Nuclear bomb

    source tupe
  9. geofizor

    JamiiForums Tanzania Nuclear bomb

    source
  10. geofizor

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa ajira mpya 2016/17: Uliza chochote kuhusu ulipopangiwa na wanaopafahamu wakujize

    walimu wa biashara mbona hawa wazungumziii kabisa? au nao wamejaa??
  11. geofizor

    JamiiForums Tanzania Wa mikoani wameshaanza kelele

    naona shule za marian zikiwa juu kwa idadi ya watahiniwa. .. big up marian schools
  12. geofizor

    JamiiForums Tanzania Mazingira machafu Marian Girls/Boys Sec, Bagamoyo

    endelea kufatilia matokeo ya shule izo.. usiache kabisa... fuatilia idadi ya wanafunzi wanao graduate ndani ya mwaka, divisions wanazo pata.. mwaka huu 2016 hizo shule zipo top ten... girls ya nne na boys na tano.. lkn ni shule pekee zenye idadi kubwa ya watahiniwa ndani ya top ten.
  13. geofizor

    JamiiForums Tanzania Ujumbe ndio ujumbe kwa serikali kuhusu ajira hasa za waalimu

    mimi ni mwalimu mwenzenu sina jinsi sasa naendesha boda boda ya bosi.. degree yangu yenye gpa nzuri kutoka mlimani sasa ipo mfukoni.
  14. geofizor

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa walimu wa arts waliokosa ajira..

    Hapaingiliki ovyo.... uliza wadau.. wakwambie. Tena walimu ndio hawawahitaji kbxa
  15. geofizor

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KDF kusafirisha msaada kwa wahanga wa tetemeko la ardhi Tanzania

    Kwani waTZ wana utofauti na KE... toka lini? Tanzania is the home of hospitality. ...toroka uje..
Back
Top Bottom