Wa mikoani wameshaanza kelele

benghlasis

Member
Nov 29, 2016
49
54
Sijawahi ona watoto vilaza km hawa wa dar, wizara ya elimu makao makuu yapo dar, maktaba ya taifa ipo dar, rada ya taifa ipo dar, simba na yanga zipo dar, majarida ya nyambari nyangwine yanachapishwa dar, oxford printing press ipo dar, n.k lakini bado wametoa shule *sita bora kwa ubovu*. Isitoshe hata wimbo wa darasa producer anaishi dar bado wanafeli.
 
Ngoja hivyo vyote ulivyovitaja hapo vihamishiwe Dodoma tutajua tu tatizo ni nini? Je ni foreni zinasababisha matatizo au jua Kali na uwingi wa watu unasababishia watoto wa Dar wasisome vizuri nk.
 
Dar inahitaji kuombewa sana,wanaume wao legelege,sasa mpaka wavulana wao wamekuwa legelege?Watoto miaka 4 yupo kwenye school bus alafu anataga?
Mtoto anapelekwa shule na V8 ,baba yupo wizarani,akitoka shule mummy anampitisha Merry Brown kula ice cream na chips,na kupiga selfie za kuweka insta alafu bado anapata Zero?Naomba Wizara ihamishiwe Kilimanjaro kwenye Elimu Dar waachiwe 'after school bash'
 
Matokeo ya Dar Clouds Media hawakwepi lawama,hawa ndio wanaongoza kwa kuwastarehesha vivulana vya dar na vischana bila kujua kuna kusoma,utaskia 'imooooo' na sasa imekuwa dadeki zao
 
Halafu wakimaliza mitihani wanaenda after school bash, huku wenzao wa mikoani wana enda twisheni
Watoto wa dar sjui wamepatwa na nn
Wanamaneno ya shobo hao, wanawaita wa mikoani Dar transit, eti Dar unaiona ukiomba visa na kusubiri ndege utoke.
 
sasa wakishinda wote nani atacheza vigodoro/singeli ??

Hahaha
Hao wataendelea kwenda msanga kucheza singeli na kicheko
Wenzao wakiwa wako Azania, jangwani etc wote wana kiwa wako dar tu sasa

Hakuna shida wacheza visingeli na vigodoro wengine wanawakilisha Dar na Pwani.Kwani huko mikoani hakuna walofeli? Acheni majungu au hamuelewi kwamba Mkuranga na Kibaha (huko nako kuna wacheza vigodoro na singeli) zimeingia top ten halmashauri kumi bora zilizofanya vizuri.

Pwani imeingia kumi bora katika mikoa kumi bora na Dar imeingiza shule nyingi tu kwenye kumi bora.Waliofaulu kwenda Azania,Jangwani,Zanaki Azania,Kibasila pia ni wacheza singeli.
Waliofaulu hizo seminari pia kuna wacheza singeli.

tapatalk_1485903238310.jpeg
tapatalk_1485903182401.jpeg
 
Attachments

  • tapatalk_1485902377711.jpeg
    tapatalk_1485902377711.jpeg
    70.3 KB · Views: 48
Sijawahi ona watoto vilaza km hawa wa dar, wizara ya elimu makao makuu yapo dar, maktaba ya taifa ipo dar, rada ya taifa ipo dar, simba na yanga zipo dar, majarida ya nyambari nyangwine yanachapishwa dar, oxford printing press ipo dar, n.k lakini bado wametoa shule *sita bora kwa ubovu*. Isitoshe hata wimbo wa darasa producer anaishi dar bado wanafeli.

Unaambiwa watu wa Dar hawana issue, wao kazi yao ni kukopi na kupaste vitu, wanaume wao ndiyo usiseme!
 
Dar inahitaji kuombewa sana,wanaume wao legelege,sasa mpaka wavulana wao wamekuwa legelege?Watoto miaka 4 yupo kwenye school bus alafu anataga?
Mtoto anapelekwa shule na V8 ,baba yupo wizarani,akitoka shule mummy anampitisha Merry Brown kula ice cream na chips,na kupiga selfie za kuweka insta alafu bado anapata Zero?Naomba Wizara ihamishiwe Kilimanjaro kwenye Elimu Dar waachiwe 'after school bash'
Mkuu legelege ya wanaume wa dar ndo imezaa watoto legelege
 
Back
Top Bottom