Ushauri kwa walimu wa arts waliokosa ajira..

Ushauri kwa walimu wa arts waliokosa ajira..

Private schools zimejaa wakenya.
Serikali iwafukuze wakenya ili sisi walimu wa sanaa tupate ajira
wakenya ndo wataalamu wa English ..nyie mliosoma Kayumba hamjui kufundisha English yenu mbovu ....
 
alternatives hizi ukizifuata utafanikiwa ..
1. kama O level ulisoma science mwakani tafuta chuo ukasome diploma au certificate ya course ya afya eg nursing ,,clinical medicine etc
2. kama o level ulisoma pure arts ila biology ulipata PASS ..mwakani omba chuo cha afya kasome certificate ya community health
3. kama alternatives zote hapo juu ukiona hazifai kufa dhiki yako usitulalamikie hum JF.......... anzisha mradi wa kufuga kuku au tafuta private school au uhame Tanzania katafute job nchi nyingine pia kuna schools ...au uhame........

swali ni kwamba waliosoma hizo kozi wenyewe wameajiriwa? au unataka kupaa promo tu
 
alternatives hizi ukizifuata utafanikiwa ..
1. kama O level ulisoma science mwakani tafuta chuo ukasome diploma au certificate ya course ya afya eg nursing ,,clinical medicine etc
2. kama o level ulisoma pure arts ila biology ulipata PASS ..mwakani omba chuo cha afya kasome certificate ya community health
3. kama alternatives zote hapo juu ukiona hazifai kufa dhiki yako usitulalamikie hum JF.......... anzisha mradi wa kufuga kuku au tafuta private school au uhame Tanzania katafute job nchi nyingine pia kuna schools ...au uhame........
Ushauli wa kitoto kitoto huo
 
Private schools zimejaa wakenya.
Serikali iwafukuze wakenya ili sisi walimu wa sanaa tupate ajira
Private wanataka kingereza je wewe unamzidi mkenya kiingereza. Usisahau eng coz yawezekana wakafukuzwa kweli si unamjua prf ndal
 
alternatives hizi ukizifuata utafanikiwa ..
1. kama O level ulisoma science mwakani tafuta chuo ukasome diploma au certificate ya course ya afya eg nursing ,,clinical medicine etc
2. kama o level ulisoma pure arts ila biology ulipata PASS ..mwakani omba chuo cha afya kasome certificate ya community health
3. kama alternatives zote hapo juu ukiona hazifai kufa dhiki yako usitulalamikie hum JF.......... anzisha mradi wa kufuga kuku au tafuta private school au uhame Tanzania katafute job nchi nyingine pia kuna schools ...au uhame........
Hebu verify hapo kwenye community health inahusika na nini na taaluma yake unaipata ili uje kuwa nani.??
 
Minister: We’ll start employing more teachers in all subjects soon

......................................................................................................
THE government is finalising the process of allocating school duty stations to all graduate teachers (regardless of subject specialisation) who completed studies in 2015 and 2016, and has appealed for the teachers to exercise patience while this is being done.

ANGELLAH KAIRUKI,
This was said by the Minister of State in the President's Office (Public Service Management and Good Governance), Angellah Kairuki, in an interview with The Guardian yesterday.

“They have to be tolerant as we finalise some internal procedures…we will communicate everything to the public once we are ready,” said the minister.

The Ministry of Education, Science and Technology recently announced fresh employment opportunities for teachers specialising in science and mathematics who completed their diploma or degree courses in 2015.

The ministry’s statement did not divulge the number of job openings available, but was specific in directing eligible graduates to submit their original secondary school certificates plus diplomas or degrees along with their job applications.

It was the first formal advertisement of job openings within the public service since new employment was suspended early this year to make way for a verification exercise of all workers currently on the civil service payroll.

The verification has so far uncovered more than 19,500 ghost workers feeding off the government payroll.

When announcing the suspension of civil service employment at the time, Prime Minister Kassim Majaliwa called on all potential job applicants - particularly in the education, health and military sectors - to be patient until the verification was completed.

According to Tanzania Education Network (TEN/MET) coordinator Cathleen Sekwao, there is a serious shortage of teachers in all subjects countrywide, hence the need to employ more.

Sekwao said the decision to prioritise science and mathematics teachers was okay since the situation had become critical. By 2014, it was estimated that the country was in need of about 13,480 basic mathematics teachers.

“(But) it is our hope that other graduate teachers will also be considered in the near future so as to fill the existing gaps,” added Sekwao.

source: the guardian tz
 
Hv mshahara wenyewe wa ualum n sh ngapi haswaa??

Nawashawaur potezea wazo la ajira kichwan pambaneni..

Ajira zenyewe makato mengiiii kaz kweli kweli
 
mwaka huu kama wataajiri walimu was arts ni kwa ajiri ya kufurahisha umma. Ajira za walimu was arts zitatolewa 2019 kama njia mojawapo ya kuomba kura. na walimu haohao wanaolia Leo ndio watakao toa kura zao
 
Haya ni maoni au uhakika, uhalisia, au mahaba ya siasa na chama Fulani?
 
Back
Top Bottom