@JamiiForums watu kama hawa mnawaachia wanatuharibia uziJamaa wa story ana mimba changa nn
...mbona ana zila zila sana sura limemkauka kama ngozi ya mapumbu
Hahaha
Story telling is an art and art doesn't have a formula. Muache ahadithie anavyotaka ndo style yake ya uandishi na kuhadithia.Makasiriko ya nini?Huu uzi ulipaswa kuisha kwa episode 2 au 3.
Isipokuwa anachofanya mwandishi ni kuingiza maelezo mengi ambayo siyo ya lazima sana.
Mfano angalia episode ya 1 na 2, akitaja eneo la hapa Bongo mfano mwenge mataa anataka elezee hapo mwenge mataa kuna nini, aelezee mpaka wauza magazeti hapo,,aelezee mama lishe, aelezee vibaka, haya yote ni kurefusha stori.
Issue ni safr anapaswa kunyoosha safr ilivyokuwa basi, lakini asilimia 95% ya maelezo yanazunguka hapa hapa bongo tu.
Endeleeni tu hizi tabia za kuanzisha uzi kupima upepo Mungu asaidie huu uishe salama.
Watu wengine wagonjwa wa akiliStory telling is an art and art doesn't have a formula. Muache ahadithie anavyotaka ndo style yake ya uandishi na kuhadithia.Makasiriko ya nini?
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
Aisee ubaharia ni kutoka na nguo uliyovaa pekeeafu nani jamaa sasa mkuu?
![]()

Watu km nyinyi mnakera sana aisee kwann usimpe anayeleta hbr km hii nafas ujui anaish mazingira gani?? ShubamittttttUongozi wa jamiiforums.com naomba muwe mnafuta hizi nyuzi inakuwa ntu anakutia nyege tu kumuweka hunuweki bhn
We ni shoga nini?? Leta ww storyJamaa wa story ana mimba changa nn
...mbona ana zila zila sana sura limemkauka kama ngozi ya mapumbu
Wajuaji mshaanza tena..mnataka tukose na hukuHuu uzi ulipaswa kuisha kwa episode 2 au 3.