Recent content by Genisys

  1. Genisys

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya Uhamisho, Uteuzi na Utenguzi wa nafasi mbalimbali. Angela Kiziga ateuliwa kuwa Mbunge

    Hv yule Anjera Kiziga anatitle gani tena pale ikulu, si ameshakuwa mbunge huyu mbona leo pale Ikulu wakati Raisi Chakwera anaingia nimemuona kwenye mapokezi na imepostiwa leo (Maelezo News IG)?
  2. Genisys

    JamiiForums Tanzania Je, unadhani Rais Samia kwenda kusemea Marekani kuwa kufanya Kazi na Hayati Rais Magufuli ilikuwa Ngumu analenga nini kati ya yafuatayo?

    Futa hiyo point yako ya Corona. Hao unawatetea wenyewe wamekubari, hv leo tungekua tumewekwa lockdown tungeishije kwa uchumi upi? Si tungekufa kama kuku Tulisurvive kutokana na jasiri wa mwendazaje, ok, kazingua sawa but not to this extent. Hili Taifa tushakula laana from the start, na...
  3. Genisys

    JamiiForums Tanzania Hizi ni sare za jeshi la wapi?

    [emoji23][emoji23]
  4. Genisys

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Taifa mbona moja hili Mkuu, ondoa shaka. Wanaojitenga ni wale wanaohitaji kiti tu nothing else
  5. Genisys

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema ahoji alipo Waziri Simbachawene

    Ujuaji mwingi sana Bongo. Na hasa ukiendelea kuwaskiliza hao kina Lema. Hao ambao wanavaa Barakoa wanapona? Tunahitaji Neema ya Mungu. Mara huyu anapewa chanjo still anacomplain damu inaganda sasa tusimamie wapi? tuache ujuaji na mkumbo
  6. Genisys

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mama Janeth Magufuli asingesubiri msiba Chato?

    Ungemwombea tu Mkuu. Hayo maombi yangefika huko alikokua amejificha, tuache mkumbo
  7. Genisys

    JamiiForums Tanzania Harmonize na Jide, balaa na nusu

    Afro East mule kuna ile ngoma inaitwa “Mpaka kesho” yamoto sana. Album Launch imeifanya iyo Afro East kuwa kubwa sana lkn me cjaona ule ufundi wa kijana wa kimakonde. Ngoja nipime ndani ya week 2 hv lile vibe, kama bado itakuwa inatrend. #WabongoSieWanafkiSana Sent from my iPhone using...
  8. Genisys

    JamiiForums Tanzania Hivi TBL mnafikiria nini kupunguza ujazo wa Castle Lite kutoka 375ml hadi 330ml?

    Mbinu za kibiashara tu hizo mkuu, Serengeti Lite 330ml anauza sana. Yaweza ikawa sababu ya Castle Lite kupunguza ujazo aweze kucompete vzr Sent from my iPhone using JamiiForums
  9. Genisys

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais analindwa na vikosi vingapi vya askari?

    Ndio madhara ya kumsikiliza sana Mange haya.
  10. Genisys

    JamiiForums Tanzania Alichoandika Instagram Diamond Platinumz kuhusu albamu ya Harmonize

    Hv Harmonize aliondoka Wasafi kisa Diamond au akina Babu Tale, Salam Sk na Mkubwa Fella. Sijawahi kumskia Diamond akisema chochote? Sent from my iPhone using JamiiForums
  11. Genisys

    JamiiForums Tanzania Coronavirus - Bado Mengi Hayajulikani

    Seriously??? Mkuu [emoji23]
  12. Genisys

    JamiiForums Tanzania Kwa nyimbo hizi, nachelea kusema Rayvanny ndiye King of Romantic Songs kwa sasa

    Mkuu huyo Dogo ndio maana anaBET, anaujua sana, asilewe sifa tu atembelee humo humu. Hiyo EP kafanya poa mnoo! Sent from my iPhone using JamiiForums
  13. Genisys

    JamiiForums Tanzania Lengo la kumlipia Msigwa ili wenzie wabaki ilikuwa na maana gani?

    Si wakueleza wamekueleza anaundugu na familia ya Kifalme, we haujaelewa nn hapo Mkuu? Sent from my iPhone using JamiiForums
Back
Top Bottom