wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,417
- 29,088
Mi nilidhani kavaa kigae aina ya maboHuyo wa tatu Kuanzia wa kwanza
View attachment 1732612
Mi nilidhani kavaa kigae aina ya maboHuyo wa tatu Kuanzia wa kwanza
View attachment 1732612
Then utakuta linatoa lawama kwa serikali kwa nini hajapata ajira sijui ni taasisi gani au shirika gani linaweza ajiri jitu lenye akili kama hiziUjinga mzigo, ukiwa mwana saccos kila kitu unaleta unyumbu.
Huyo NI kamanda wa KMKM Zanzibar.
Mkuu Ujuaji mwingine ni aibu tu,union ni umoja? Na unity ni nini?Umoja wa chattle yaani Chattle Union (CU)
Mi nilidhani kavaa kigae aina ya mabo
Kikosi cha valantia zanzibar. KVZHuyo wa tatu Kuanzia wa kwanza
Union ni muungano sawa lakini pia union ni umoja.Mkuu Ujuaji mwingine ni aibu tu,union ni umoja? Na unity ni nini?
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Jifanye mjinga ujue vingi.Ujinga mzigo, ukiwa mwana saccos kila kitu unaleta unyumbu.
Huyo NI kamanda wa KMKM Zanzibar.
Kikosi Maalum Kuzuia Magendo (KMKM - SMZ)Huyo wa tatu Kuanzia wa kwanza
View attachment 1732612
Sio kweli.Hao Ni makamanda wa JKU
Hiyo salute wanatumia NavyJeshi la waganga hilo....maana hiyo saluti haitutambulishi kabisa
KMKM wa Zanzibar hawaAtakua luteni kanali wa msumbiji uyu maana mmh
Wewe unajua, wengi hawaelewi kuwa kuna salute za aina nyingiHawa ni navy/sailors na hufanya hivyo sababu kama wanamaji mikono yao inaweza kuwa na magrisi kama fundi magari so they opt to salute their palm facing down.
East coast hao mkuu, uyo ni Gwamaka kihaula (GK)
Jeshi hatari sana kwenye itikadi
Ww ni mjinga sana aseeee.... Mjinga wa mwisho kabisaUmoja wa chattle yaani Chattle Union (CU)
[emoji28][emoji28] oyaaaEast coast hao mkuu, uyo ni Gwamaka kihaula (GK)
Jeshi hatari sana kwenye itikadi
Dah... Mkuu mi mwenyewe nawaza mavigae tu nilijua kavaa likigae aisee,Mi nilidhani kavaa kigae aina ya mabo
Hiuo ni JKU ni kama JKT kwa huku baraHuyo wa tatu Kuanzia wa kwanza
View attachment 1732612
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]East coast hao mkuu, uyo ni Gwamaka kihaula (GK)
Jeshi hatari sana kwenye itikadi