Kabisa kaka...huyu mama anachoka sanaKamati ya utaratibu wa mazishi mko wapi?
Mnamchosha mama Janet hali yake sio nzuri, ana majonzi sana kwanini asingeachwa apumzike nyumbani au atangulie Chato kusubiri msiba?
Situation anayopitia mama Janet sasahivi ni ngumu sana, anahitaji muda mwingi wa faraja na kumpumzika.
Sijapenda kabisa
Kwahiyo atazunguka safari zote hizo za kuagwa au? Mtampa maumivu zaidi na mnamchosha.
Natamani kamati ya maadalizi wangelielewa hiliDuu mama wanamtesa huyu. Hivi kuna mwenye uchungu kumzidi kwa hao viongozi? Wangemwacha tu jmn watamsababishia na shida zingne za kimwili[emoji25][emoji25] namwonea huruma sanaaa, kuna muda namwona mama samia akimpoza duu. So painful. Na camera zinaenda kwake, kwanini lkn wasimwache tu jmn.
Nani kakudanganya ni itifaki ndiyo inavyosema? Au unaandika tu kwa kubuni?Maswala ya itifaki yako hivyo, hawezi kuondolewa hapo. Avumilie tu maadamu hicho kiatu aliandaliwa na Mungu kabla hajazaliwa atavuka tu.
Ccm wanataka afe kwa uchungu..... Wana lao jambo haya sio majitu kabisa. Si unaona yalificha watz wasijue km rais anaumwa wangepata nafasi ya kumwombea
Sqwa ndio lkn haujui alithibitisha kuhudhuria kuaga pekee au maziko ....itoshe kusema walifika na wameshirikiTuna uwanja wa ndege mzuri sana kule
Kufiwa na mtu unae lala nae.. roho inauma sanaaa.. uchungu wake unakuwa mkali sanaaaAvumilie tu maana tunaenda kumfariji yeye sana sana. Afu na sisi huku tunalia hayupo mwenyewe
... tunazungumzia wakuu wa nchi na serikali zaidi ya 15 among other high level diplomats and officials. Miundombinu ya kijijini Chato itaweza kuhimili ugeni wa aina hii at par?Wasingeweza kwenda toa hizo pole kwenye mazishi chato?
Hapo hapo wakae mwezi mzima hadi waanue matanga....... tunazungumzia wakuu wa nchi na serikali zaidi ya 15 among other high level diplomats and officials. Miundombinu ya kijijini Chato itaweza kuhimili ugeni wa aina hii at par?
Hawa sio aina ya wageni msiba ukitokea kijijini kwenu wanakuja na mafurushi ya kunde, unga, kuku, mtama, n.k. kutoa pole; wageni ambao hawana hiana kutandika majamvi na mawe shughuli ikaendelea!
Hawa ni wageni wa kimataifa; kila mmoja ana maafisa sio chini ya 20 nyuma yake! Pata hiyo picha!
Sijajisemea mimi mkuu usije ukaniharibia kwa vimwana wa humu JF.....hahaha...[emoji23][emoji23][emoji23],,sawa mwenye ndoa yake
Maskio yakiwasha wafanyaje?Mbaya zaidi wanamuacha sana alone kama leo Dodoma wale mabinti wanaomlinda walikua wanajisahau sana mpaka wanakuna maskio thats shame. Wamtaftie mtu mzima wa kumfariji anaumia sana akiwa hivyo alone.
Na kila siku pain hiyo itakua inajirudia rudia mpaka ijumaa just imagine! Vitu vingine ni kutumia tu common sense na ubinadamu. Hakuna logic ya kumzungusha yule mama sehemu zote hizo.Kwa kweli aende tu Chato Mama yetu
Leo yani she was in so much pain