Alichoandika Instagram Diamond Platinumz kuhusu albamu ya Harmonize

Alichoandika Instagram Diamond Platinumz kuhusu albamu ya Harmonize

exalioth

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2016
Posts
2,391
Reaction score
4,145
Diamond platnumz ameonyesha nijinsi gani tunapaswa kusapot mziki wa Tanzania

Tuache u timu

Mara timu mwijaku
Mara timu mondi
Mara timu wema
Mara timu harmo
Mara timu kiba

Amempost kijana kitu ambacho binafsi naona ni kizuri kwakijana kama Harmonize mpambanaji anaejituma
Screenshot_2020-03-15-16-34-42.jpeg
Screenshot_2020-03-15-16-36-02.jpeg



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni jambo zuri ila linatiwa nguvu na kitendo cha Harmonise kukatisha mkataba kiungwana na wcb na kulipa milioni 500 za Tz. Asingefanya hivyo haya naamini yasingetokea
Diamond platnumz ameonyesha nijinsi gani tunapaswa kusapot mziki wa Tanzania

Tuache u timu

Mara timu mwijaku
Mara timu mondi
Mara timu wema
Mara timu harmo
Mara timu kiba

Amempost kijana kitu ambacho binafsi naona ni kizuri kwakijana kama Harmonize mpambanaji anaejitumaView attachment 1389067View attachment 1389068


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu account ya shettah nahisi imehackiwa na juma lokole,angalia comment yake [emoji115]
 
Hv Harmonize aliondoka Wasafi kisa Diamond au akina Babu Tale, Salam Sk na Mkubwa Fella. Sijawahi kumskia Diamond akisema chochote?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom