Recent content by Gcmplx

  1. G

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa simu naomba utatuzi wa hili tatizo

    Asee tecno nahisi n tatzo,mm mwnywe nina tatzo hilo yani nkizima cm nkiwasha inanchukua siyo chini ya dk15 meseji ziingie,kitu ambacho kimehatarisha ndoa yangu kwani SMS za michepuko za enzi hzo zinajirudia
  2. G

    JamiiForums Tanzania Tangu nizaliwe Leo nimenyonyeshwa papuchi Nina mawazo hapa

    Mkuu hapo huchomoki .pole sana
  3. G

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, mabalozi walioko ughaibuni wanawasilisha vipi fomu Tume ya maadili

    Vijana wa lumumba buana most of you mna akili finyu.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara za kuoa mwanamke ambae ana mtoto tayari?

    Kwnye Betting sisi tunaiita Handicap, yani mtu unaingia uwanjani tayar ushapewa gori
  5. G

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kisukuma ndo wife material kwa sasa!

    I agree mkuu.
  6. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais wa Ufaransa atua Kenya na kuanza mikakati ya ujenzi wa reli itakayounga uwanja wa ndege JKIA

    Hongereni sana kenya, sisi huku bado tuna vita Kali na wapinzani, hadi tuwatokemeze kabisa ifikapo 2020,then tutachek mambo mengne . Sent using Jamii Forums mobile app
  7. G

    JamiiForums Tanzania Tanzania's SGR is of poor quality

    Wakenya mtuache kwanza tupo bize na Dada zenu. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. G

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

    Katika harakat za hapa na pale nilibahatika kufika kipande hicho asee wako njema hawa Wadudu,unaweza ingia vijijini ukakutana na makasiri kwnye migomba. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. G

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wapigie customer care watakuelekeza namna ya kusolve. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. G

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Daah, tottenham amekuwaje? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. G

    JamiiForums Tanzania Mkopo benki ya CRDB unachukua muda gani kupata?

    CRDB moja ya bank zinazozingua kabisa katika suala la mikopo, mosi wanahitaji attachment kibao mara Barua ya maombi, sijui rubber stamp, uende kwa wakili, na vidude kibao yani kama unatatizo la fasta waweza kufa.M nlichukua form yao ikabdi niishie mitini but nlipoenda NMB within two days mzigo...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Korea ya Kaskazini ndio namba moja inaongoza kuwa na nyambizi nyingi duniani kushinda hata USA, CHINA, na URUSI

    Tz tunazo ngap? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. G

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Polisi wanatumia gari lenye namba T 623 CYZ kufanya uhalifu

    Asante kwa taarifa, nitoe wito kwa watanzania wenye nia njema na nchi yao waendelee kutoa taarifa juu ya uovu unaofanywa na baadhi ya Askari wasio waadilifu. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. G

    JamiiForums Tanzania Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

    Ubaya wa kitu, sehem unakuja pale unapolinganisha na sehem ingne, Je itigi n pabaya ukipalinganisha na wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom