Korea ya Kaskazini ndio namba moja inaongoza kuwa na nyambizi nyingi duniani kushinda hata USA, CHINA, na URUSI

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,887
Kwa mujibu wa mtandao wa globalfirepower korea ya kaskazini ndo inaongoza kwa kua na submarine kali na nyingi kuliko nchi yoyote ile

1 North korea 73

2 CHINA 66
3 USA. 62
4 RUSSIA. 33
5 IRAN. 17
6.JAPAN 16
7.INDIA. 16
8 SKO. 10
9 TURKEY 11
10 COL. 11
11 GRE. 10
12 UKD. 10
13 FRA. 8
14 ALG. 8
15 ITA. 6
16 GER. 6
17 AUS. 6
18 ISRAEL 6

Link: Total Submarine Strength by Country
Source: www.globalfirepower.com





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mujibu wa mtandao wa globalfirepower korea ya kaskazini ndo inaongoza kwa kua na submarine kali na nyingi kuliko nchi yoyote ile

1 North korea 73

2 CHINA 66
3 USA. 62
4 RUSSIA. 33
5 IRAN. 17
6.JAPAN 16
7.INDIA. 16
8 SKO. 10
9 TURKEY 11
10 COL. 11
11 GRE. 10
12 UKD. 10
13 FRA. 8
14 ALG. 8
15 ITA. 6
16 GER. 6
17 AUS. 6
18 ISRAEL 6

Link: Total Submarine Strength by Country
Source: www.globalfirepower.com





Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani Kwa Taarifa Yako Mkuu Ila Naomba Nikusahihishe Kidogo:

Kwa Mujibu Wa Chanzo Hicho Ulichotoa Kuna Mpishano Wa Taarifa; Kule Inasema North Korea Anazo 86 Wakati Huku Umesema 73. Na Pia Nchi Zinazofuatia Pia Mpishano Huo Upo.

Pili Kwenye Kichwa Cha Habari Hapo Uliposema Kuwa 'Submarine Kali' Sidhani Kama Ni Sahihi Sababu Hata Chanzo Cha Hiyo Habari Kimeainisha Katika Utangulizi Kabla Ya Kuweka Hiyo Orodha! Soma Hapo Nilipozungushia Alama!
sdsfsfs.png
 
Kwa mujibu wa mtandao wa globalfirepower korea ya kaskazini ndo inaongoza kwa kua na submarine kali na nyingi kuliko nchi yoyote ile

1 North korea 73

2 CHINA 66
3 USA. 62
4 RUSSIA. 33
5 IRAN. 17
6.JAPAN 16
7.INDIA. 16
8 SKO. 10
9 TURKEY 11
10 COL. 11
11 GRE. 10
12 UKD. 10
13 FRA. 8
14 ALG. 8
15 ITA. 6
16 GER. 6
17 AUS. 6
18 ISRAEL 6

Link: Total Submarine Strength by Country
Source: www.globalfirepower.com





Sent using Jamii Forums mobile app
Daaa sio kila taarifa unazozikuta google ziko sahihi.kwa staili hii utakuwa unarishwa matango poli kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yawezekana kweli wanazo nyingi lkn nadhani watakuwa wanazitumia kufanyia biashara na nchi vichwa ngumu kama iran na mpenda vya bei chee hapa EA

maama CIA wameshawai kubwe kuwa kuna uhusiano wa kibiashara kati ya north korea na dona katrii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom