Recent content by Gathii

  1. G

    Hivi mke wangu anajiandaa kuachana na mimi au?

    Simply,nashindwa kuiamini hii story.
  2. G

    Nyerere alivyoiua timu ya PanAfrican

    Respect Bonnie1974....So straight and true..
  3. G

    Nimeumizwa

    lara1.... Nimependa spirit yako....to be sincere hakuna justification ya mtu kumdanganya msichana/mwanamke na kumwacha just like that-Yes, I know majority wanakuja na they will always come with stuffs like" acha tu" "samehe tu" "yatapita" and the like...lakini hiyo yote maana yake Mwanamke ndio...
  4. G

    "Mabala wa mabalaa" Ni Nani?

    Yeah..Anaitwa Richard Mabala...ni Muingereza nafikiri,alioa Mtanzania na hivyo akaamua kubadilisha jina lake la Ukoo na kuchukua hilo la Mabala...Ni Mtaalamu wa Literature,ameandika articles nyingi lakini ni maarufu sana kwa vitabu vyake ambavyo vimetumika sana kipindi fulani cha 90's kwa...
  5. G

    Akili zetu wanaume zinatutosha wenyewe, we acha tu!

    Hapo kwenye red! nafikiri ndivyo ilivyopaswa kuwa.
  6. G

    Wanaume wazuri ni wale waliopata malezi ya karibu ya mama zao, kweli?

    Hapo kwenye red nafikiri ulikuwa unataka kumaanisha "correlation coeffient" which is computed in the following manner-a measure of the strength of the linear relationship between two variables that is defined in terms of the (sample) covariance of the variables divided by their (sample) standard...
  7. G

    Unawakumbuka nguli hawa wa soka?

    Mzozaji! Sikupata kumuona Nico Njohole akicheza..ila one thing is certain jamaa ukoo wao wako so talented kwenye soka...Nilimuona na kumkubali Deo Njohole...ila kwa vioungo the best I have never seen kwa Tanzania kwa mtazamo wangu - LateThobias Gaga "Gagarino"
  8. G

    Aunt Sadaka Gandhi

    Toa Boriti kwenye jicho lako,ndipo utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako. Ahsante.
  9. G

    Ingelikuwa wewe utafanyaje!!!!

    Mkuu, hizi stori za kutunga huwa zinalenga nini hasa?niwe mkweli sielewi lengo huwa ni nini?.
  10. G

    South Sudan independence photos

    Mzee MM, Wanasema "be black be proud"..Hapo kwenye red sijapapenda kwa kweli.
  11. G

    Wa-Tanzania Tujifunze Kubadilika Tabia: Mengine ni Matatizo Yetu Wenyewe!

    Willie! Nimeisoma thread yako na michango toka kwa wachangiaji wengi..first and foremost nakubaliana na ile main objective ya thread yako "tunapaswa kubadilika" ingawa nina vingi vichache vya kuchangia pia ambavyo nitatofautiana na wewe. Binafsi nakubaliana na wewe kuna vitabia ambavyo bila...
  12. G

    Toyota Carina

    Kaka Uliagiza lini hiyo gari yako??-jaribu sasa hivi uone ndio utajua balaa lake..kodi kaka ni moto wa kuotea mbali na hiyo new system ya kodi wanayotumia TRA..
  13. G

    Kweli Mungu Kaumba!!!: Kitu Cha Ukweli Hicho

    Mkiweka picha kama hivyo muwe mnatoa na contacts zake...mnaweka picha kama hiyo ili iweje??
  14. G

    George Weah vs Ronadinho

    Kaka! Unapoongelea Gaucho a.k.a Dinho unaoongelea kipaji adimu kabisa ambacho Rabuka amewahi kutujaalia sisi wapenzi wa soka hapa ulimwenguni..He is of his own class my brother,huwezi kumlinganisha Weah na Gaucho...Weah alikuwa zaidi mfungaji,lakini Gaucho alifunga yeye mwenyewe,akawatengenezea...
  15. G

    Unazikumbuka enzi za Barua!

    Lizzy, najaribu ku-comment majibu yako kwa "GAZETI" Nakubaliana na wewe kitu kimoja-kwamba ile ladha ya ujumbe hata kwa sms au email inaweza kuwepo ileile kulinganisha na barua-what matters ni muandishi,maana kuandika ni sanaa,lakini bado ukiandika toka ndani ya moyo kuna uzito wake. Ila...
Back
Top Bottom