Unawakumbuka nguli hawa wa soka?

Enzi hizo nachukua karatasi na kalamu najisogeza kwenye radio nacopy list no 1steven nemes,2ken mkapa au 3.athuman china.method mogela.salum kabunda.issa athuman.

Hapa umenifurahisha kweli,Radio Memory Q au Philips au National,aah raha tupu.

Enzi hizo nachukua karatasi na kalamu najisogeza kwenye radio nacopy list no 1steven nemes,2ken mkapa au 3.athuman china.method mogela.salum kabunda.issa athuman.

Kweli ila Athumani Abdalla China alikuwa kiungo

Pamba FC (1980s)

Juma Mhina, Yusuf Bana, Abdallah Bori, Athuman Juma Chama, Ibrahim Magongo, John Mwakatika (Mzee Upara), Isaack Mwakatika, James Ng'ong'a (Mzee Mzima) Edward Hiza, Khalid Bitebo Zembwela, Abuu Juma,Beya Simba

Pamba FC (TP Lindanda Wana Kawekamo)

Madata Lubigisa, George Masatu, Husen Masha,Mao Mkami,Mkama Ntare,Kitwana Selemani,John Makelele,Msonga Rashid

Niliipenda pamba kwa dhati.
Pia kuna paul rwechungula, juma amir, na muksin maftah

wakuu mbona mmemsahau huyu jamaa Yanga Fadhili Bwanga, hii ilikuwa ni mashine si ya kawaida

Paolo Cesare Maldini (born 26 June 1968) is an Italian former footballer who played as a left or central defender. He spent all 25 seasons of his career at Serie A club Milan, before retiring at the age of 41 in 2009, becoming a symbol and a
legend of the club. During that period, he won the Champions League five times, as well as seven Serie A titles, one Coppa Italia, five Supercoppa Italiana, five European Super Cups, two Intercontinental Cups. He played for 14 years for the Italian national team, making his debut in 1988 before retiring in 2002 with 126 caps and four World Cup participations. Maldini played at a world class level for his entire
career spanning 2 and a half decades, and won the
Best Defender trophy at the UEFA Club Football Awards at the age of 39. He came second to George Weah for the FIFA World Player of the Year Award in 1995, the closest a defender had ever reached to
winning the award at the time. He was also the
Milan and Italy captain for many years and was considered a leader amongst leaders by fellow
footballers, leading to the nickname "Il
Capitano" (the Captain). Paolo's father Cesare formerly played for and captained Milan, and is a successful national U-21 coach...

Huyu ndio PM ama Paolo Cesare Maldini, Simba Dume la ukweli.

Kwa Tz vipi?

Mnanishangaza sana wadau jinsi mnavyoonekana hamko makini au hamkuwa makini katika kufuatilia soka la bongo. Labda mmehadithiwa kuwa kulikuwa na wachezaji mahili... Inakuwaje mnamsahau Nicodemus Njohole? Huyu jamaa alikuwa nadhani kiungo mahili zaidi kuwahi kutokea Tanzania.

Twah Hamidu
Said Zimbwe
Omar Mavumbi
Godwin Aswile
Idd Pazi

Nani anakumbuka kile kikosi cha Pamba ya Mwanza kilichoifunga timu moja ya Usheli sheli magoli zaidi ya kumi kama sikosei? Walikuwepo wakina Fumo Felician na wenzake...anayekumbuka atuwekee hapa tafadhali

Mzozaji!
Sikupata kumuona Nico Njohole akicheza..ila one thing is certain jamaa ukoo wao wako so talented kwenye soka...Nilimuona na kumkubali Deo Njohole...ila kwa vioungo the best I have never seen kwa Tanzania kwa mtazamo wangu - LateThobias Gaga "Gagarino"

Twah Hamidu
Said Zimbwe
Omar Mavumbi
Godwin Aswile
Idd Pazi

Nani anakumbuka kile kikosi cha Pamba ya Mwanza kilichoifunga timu moja ya Usheli sheli magoli zaidi ya kumi kama sikosei? Walikuwepo wakina Fumo Felician na wenzake...anayekumbuka atuwekee hapa tafadhali

Nakumbuka mzee, wakt nilikuwa standard three au four pale mpakani primary school, manzese dsm. Baazi ya wachezaji walikuwa hawa:

Beya Simmba
Mao Mkami
Hussein Masha
Paul Rwechungura
Madata Rubigisa
Deo Njoore
Rajabu Risasi

Wengi wa wachezaji walihamia simba ya dar. Je mnamkumbuka yule mtangazaji wa rtd aliyekuwa mwanza, utapenda akitangaza mechi ya pamba na simba au pamba na yanga.

Chama kali tokea Mwanza hilo,mtangazaji akiitwa Dominic Chilambo (RIP).

Similar Discussions

Back
Top Bottom