Nimeumizwa

Nimeumizwa

hain aja ya kuumiza kichwa,take as one of zi chalenge na uskulupuke kufany reaction ambazo hazin faida cha msing kubali matokeo na saiv we fany yako atakuj mweny true luv and you will be enjoying again as before.
 
Huyo kama ni mie ningemtafutia midume ya kazi imle 0713 ili atie akili
hakuna kusuta kwa matarumbeta kama alivyosema gfsonwin wala nini, aliwe tigo tu ujinga umtoke mwanaizaya asiyejua mabaya!
 
Last edited by a moderator:
sio siri me zaman nilikuwa nikimpenda mtu nampenda kwa moyo wote sijali una kitu au huna bora upendo tu.lkn baada ya kutendwa sasa hivi me mwanaume kuwa na salio aka mshiko yan hata sikuangalii ndo maisha niliyoamua kuishi ss hivi.mapenzi nampenda my dad and mum lkn binadamu wengine ni mshiko tu.yan uwe unabadilisha magar,majumba na viwanja mbezi hapo tutapendana tena sana

Ha ha ha SWEET GIRL mshiko ndo mpango mzima siku hizi na kutamaniana tu hakuna mapenzi source TIQO
 
Last edited by a moderator:
Ushauri wa namna hii haukusaidii dada. Sisemi hivi kuwalinda wanaume waharibifu. Hapana, katika maisha lazima uamue kwako ni kipi cha muhimu kati ya kuishi maisha ya chuki, hasira na mashindano na maisha ya furaha, amani na upendo. Mwenzako amechagua kuishi kivita vita, anataka wafuasi wa falsafa yake. Naamini huhitaji maisha ya fujo kiasi hicho. In the end you end up resenting others and living yesterday instead of living today. Furthermore, you fail to embark the opportunities that come along with life each day. Kuachwa na mchumba wako yaweza kuwa ni opportunity na advantage kwako. Ni vile tu kama binadamu tuna hulka ya kujali na kuisikiliza mioyo yetu badala ya kusikiliza vichwa vyetu. Umeepushiwa mengi dada ambayo kwa akili za kawaida wewe huoni. Pick your life and move with life. You deserve the best!
 
Hahahaaaaaa!!!!!!!!! Naongezea kidogo hapo juu " JST ACCEPT 3YRS YOU SPENT WITH HIM WERE A BIG JOKE"
 
hain aja ya kuumiza kichwa,take as one of zi chalenge na uskulupuke kufany reaction ambazo hazin faida cha msing kubali matokeo na saiv we fany yako atakuj mweny true luv and you will be enjoying again as before.

She is 25 Halooooooooo!!!!!! Bado hana mtoto mwenzio!!!!!!! Asubiri hadi lini!!!!!? Mind you she waited for 3YRS!!!!!! 366days *3
 
She is 25 Halooooooooo!!!!!! Bado hana mtoto mwenzio!!!!!!! Asubiri hadi lini!!!!!? Mind you she waited for 3YRS!!!!!! 366days *3

******************KUBWA LA MAFRIEND (DIE TRYING BEFORE U GET RICH )******************

unaonaje hapo???
 
mbona unarudi palepale?mtu ameshakufaid unayomsingizia ya uongo yataondoa kukufaid kwako?hata vtabu vitakatifu vinasema nyie mmeletwa tuwafaid!!!!believe me,true story,i have z same scenario!!nina wasichana 2,wazuri tu,25 kwa 26yrs,wanajiheshimu,wana kazi zao na wote ni magraduate,tena wa course nzuri tu!!na wote nawatreat kama wachumba,pamoja na elimu zao bado hawajagundua kitu itafika muda mmoja lazima atendwe ndio maisha,kuna sababu nyingi zinazopelekea mtu kufika huko!!!lazima ukubali matokeo uwe mpole!!uendelee na maisha!!!take this serious, is a true story!!nilimpenda msichana wa kwanza kisawasawa,lakin wapi hakunielewa pamoja na kusisitiza sana bado hakunielewa zaidi ya mwaka,bado hakutaka kuwa na mimi,tulikuwa mazingira ya chuo!!mwaka na nusu ukapita sku zote nikiendelea kumuhitaj bado,na bado hakutaka kuwa na mimi,na ukweli ni mschana mzuri sana na wasichana wenzake chuoni walikuwa wanalijua hili!!!katika kipindi hicho cha kumtaka huku yeye hakutaki nikajikuta nimeanzisha uhusiano na dada mwingine c wa hapo chuoni,wa mazingira tofauti kabisa!!katika kukaa naye niseme waz tu nilikuwa nipo nipo tu kwa huyo dada, na mazingira niliyokuwepo bado yalinifanya mara kwa mara nikutane na yule wa mwanzo niliyekuwa nampenda sana,na bado kwa asili ya kiume nilikuwa bado namsisitiza hapa na pale!!wakati maisha yanaendelea na yule dada wa mwanzo pasipo jua kwamba nipo kwenye mahusiano mengine,akiamin sipo kwa sababu mambo yangu alikuwa anayajua kupitia kwa washikaji na mbaya mahusiano yangu na yule dada mwingine rafiki zangu wengi hawakuyajua,mara dada wa watu nikashangaa anajileta mwenyewe!!kwa asili hakuna aliye mkamilifu,na ukitilia maanani alivyo mzuri,nisingeweza kumkimbia,nami nikajitwisha mzigo!!!na nisingeweza kumuacha ghafla yule wa mwanzo kwani huyu sjui alikuwa amekuja kujaje,kwa hiyo nilijiprotect kwa kusoma mazingira kwanza kwa kuwa nao wote wawili!!!!sasa ni mwaka,kwa mantiki hiyo yule wa mwanzo ni 2yrs sasa,na yeye ni 1yr sasa!!kwa bahati nzuri nipo nje kwa masters sasa,huu sasa ni muda wa kumuumiza mmoja wao,yupi?hiyo ni siri yangu,nahitaji kuoa sasa!!kwa hiyo lara 1,haya mambo yapo yana sababu nyingi tu yanayofanya yatokee,yakitokea kuwa mpole tu!!wewe c wa kwanza!!maisha yanaendelea siku zote!!!!kuwa mpole acha bifu!!

acha uduwanzi weye, unadhani huwa unawafaidi au wanakumaliza nguvu zako na pesa zako, hivi kwenye sex nani ana enjoy zaidi,
 
lara1....
Nimependa spirit yako....to be sincere hakuna justification ya mtu kumdanganya msichana/mwanamke na kumwacha just like that-Yes, I know majority wanakuja na they will always come with stuffs like" acha tu" "samehe tu" "yatapita" and the like...lakini hiyo yote maana yake Mwanamke ndio anabeba mzigo and suffers the consequences..Huyu mwanaume anaachwa huru aendelee ku-enjoy,WHY??????

The fundamental idea hapa ni kuwa kama ambavyo mwanamke ana suffer kwa kutendwa,ndivyo na mwanaume lazima itafutwe a way na yeye kupata uchungu,kama ambavyo kisaikolojia mwanamke anahangaika na kwa baadhi ndio maisha yao yana-take direction nyingine tofauti kabisa na labda ndio yanaharibika for good,halafu inakuwaje mwanaume aachiwe aendelee kula life kwa raha zote huku nyuma anawaachia wengine maumivu??

Kama SICILIANS hakuna kuachia kitu,kadri unavyoweza na make him suffer kama alivyokufanya wewe period,kwa means gani,itategemea uwezo wako...
 
pole sana kadada ninacho kushauri nenda kwamwambie unavyo jickia juu yake na ikiwezekana itisha hata kikao kama kwao walikua wanakujua kama ulikua mchumba wake uchukue ushauri wao kama akisema akutaki poa walikni ukweli kaisha pewa czani kama ndugu wote watakubaliana na yeye wapo watako kusapoti anaweza kuwackiliza uckate tamaa mungu yupo pamoja nawe
 
nikwambie kitu mdogo wangu, that guy was never meant for you...hiyo cha kufanya ni kumuachia Mungu ndiye mpaji wa mume kwa kila mwanamke, so wewe sali sana na muombe Mungu akuondolee maumivu hayo kwani hapo naamini mlango mmoja ukifungwa, mwingine hufunguka, na kumbuka kuwa likuepukalo lina kheri na wewe, so hapo utakuja tena kupost hapa jf kuwa umepata mume sasa wa kukuona au tayari mmeshafunga ndoa...na utakuwa na furaha!!!muachie Mungu, usimmtafute, we muache tu kama alivyo Mungu ndiye mpaji usiwe na shaka naye...Mungu akufanyie wepesi Inshaallah!!!!!!
Mi ni msichana aged 25, nimeona nije hapa nimwage mauchungu yangu i believe t will help. Nimekuwa na boyfriend for almost three years nilimpenda mnooo naye alionekana kunipenda alinijali n.k yaani he was agud man tulienjoy nakupendana, siku kama nne hivi zilizopita nashangaa anakuja na kuniambia kuwa ana mchumba alikua naye b4 me na muda wa kuoana umefika, mpaka sasa hivi nashindwa kuelewa hakuonyesha dalili za kuwa na mtu hakutaja na alikuwepo whenever I needed him, im hurt beyond... sijawahi jisikia hivi moyo unauma kuliko ambavyo nimewahi kutuma, I feel confused sijui cha kufanya sijui jinsi ya kureact. Ndo nikaona labda nijimwage hapa lbd itasaidi maana zimepita siku kama tatu nne sioni relief.
 
Nimeumizwa hivyohivyo na demu wangu wa miaka 4 kwa tamaa tu ndogondogo...nafikiri uje tuungane ili tupooze machungu yetu ,au unaemaje mpendwa?
 
Pole sana mdada lakini inawezekana wewe si wa kuolewa au yeye si wa kuoa
sasa kama wewe unajiamini ni wa kuolewa mthibitishie hilo kwa kukaa mbali nae nakuwa mtulivu katika kipindi hiki cha majaribu.
Naamini kama wewe ni wakuolewa utapata mtu na tena uchumba hautachukua muda wa miaka 3 kama huu wa mwanzo.
Na yeye kama ni mvurugaji ataendelea na mchezo hata kwa huyu mwingine.
 
kha!! chezea wanaume wewe!!!
ila miaka mitatu huku sense ata siku moja? alisha wahi kucheat katika kipindi hicho?

kubali yaishe...umezidiwa kete sasa sikilizia machungu.
ila wanaume jamani tuache hizi mambo za kukaa na demu miaka mingi na kuwapotezea muda alafu unakuja kuoa mwanamke mwengine.kama upo kiburudani mega baada ya mwaka muache. vibaya hivyo wakaka

Waambie jamani sifa ya "men behaving badly is tooooooo much sasa hivi Bongo"
 
Nimeumizwa hivyohivyo na demu wangu wa miaka 4 kwa tamaa tu ndogondogo...nafikiri uje tuungane ili tupooze machungu yetu ,au unaemaje mpendwa?

Kweli nimecheka. Ci unaona mwanamume tayari anataka kutake advantage. Sasa hii rebound na outcome yake huwa mbaya zaidi. Look for good sisters who can be friends and encourage u, kumbuka sio mwisho wa dunia.
 
Pole sana chipenzi!
Wenyewe wanasema, "what doesn't kill you . . . makes you stronger!"

Acha hilo nalo lipite mwaya
Maneno kuntuuuuuuuuu,Kipipi umenena,mambo kama haya yakitokea shukuru Mungu mtu kama huyo angekuoa halafu asikie ana wanawake wengi nje ya ndoa ingekuwaje.??wala usisikilize ushauri wa mabavu unaozunguka hapa,huyo hakuwa wako,vuta subira uwe mvumilivu somo umeshalipata.Usikubali ushauri wa kulipiza kisasi yatakupotezea muda na kukuongezea machungu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom