golwebo_mkuu
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 2,271
- 688
sijui historia ya soka, ila kwa mara chache ambazo nimemuangalia dinho, bado sijamuona wakufanana naye uwanjani!
sijui historia ya soka, ila kwa mara chache ambazo nimemuangalia dinho, bado sijamuona wakufanana naye uwanjani!
Totally unfair kumfananisha Gaucho na George Weah kwangu hata Messi hajafika kwa GauchoKuna siku nilicheki kipindi cha mahojiano cha George Weah na mwandishi, kuna baadhi ya clips walikuwa wanazionesha,Weah alicheza mipira ya ajabu sana, naona hata Ronadinho hajawahi kuvionesha akiwa uwanjani. Ronadinho kwa kweli hajamfikia Weah.
kuna ki2 umesaha Kaka! Haukumbuki alivyoinyanyasa kiungo ya England? Alivyokuwa akiwalisha wale forward Lima na Rivaldo? Na zile kanzu wakina Schoels waliokuwa wanavishwa umesahau? Kaka mi naona Ronadinho bado hakuna mchezaji wa kati aliyemfikia ktk ulimwengu huu wa soccer na hata forward kama Samwel Eto anakiri. Dinho ni soo!Kwa vile tunalinganisha Gaucho na Weah, basi mi kura yangu inaenda kwa Dinho, ni noma huyu kiumbe! World Cup 2002 Brazil Vs England, goalkeeper David Seeman aliumbuka mbaya! kapigwa goal at "Right angle" na Dinho alikuwa mbali kama mita 28 au zaidi. Hadi leo nalikumbuka hilo goal, Lol!
Messiiiiiiiiii
Kuna siku nilicheki kipindi cha mahojiano cha George Weah na mwandishi, kuna baadhi ya clips walikuwa wanazionesha,Weah alicheza mipira ya ajabu sana, naona hata Ronadinho hajawahi kuvionesha akiwa uwanjani. Ronadinho kwa kweli hajamfikia Weah.
Weah hamfikii Gaucho hata robo.Nadhani mtoa mada hajapata clips za kutosha za Gaucho.Nenda katafute CD za Gaucho VS Zizzou,halafu tafuata cd ya mazoezi ya timu ya taifa ya brazil akiwa anafanya mazoezi na kina Robinho.Ktk karne hakuna mtu mwenye control kama Gaucho.
Nimeona moja ya clip zake anapiga mpira umbali wa mita 30 unagonga mwamba wa juu kisha unarudi kifuani kwake na anautuliza na kuupiga tena unarudi vile vile.Alirudia hivyo karibu mara tano na hajakosea.Tafuta CD zake kisha utapata jibu.Gaucho ni mtu wa kulinganishwa na Zizzou kwa ball control.Hata hao kina Pele na Maradona walikuwa na sifa zao lkn sio jinsi ya kuuchezea mpira.
bwahahahahah shemejiiiiiiiiiiiTofauti ya Messi na Gaucho ambao wote waweza kuwaweka kundi moja ni kuwa Messi anacheza mpira zaidi wa Kisayansi. Kama ni kusema kivita, basi Messi ni kama KGB au CIA. Gaucho ni kama Komandoo ambalo likifika sehemu, linafanya SHOW kwelikweli. Ndiyo maana film kama Rambo, Terminator, American Comandor, Ninja, Cowboys na picha kama Smallville, Prison Break nk zinapendwa sana ukinganisha na picha kama The Forth Protocal ambazo ni ujasusi kwenda mbele na action kidogo......
bwahahahahah shemejiiiiiiiiiii
well beeng honest, GAUCHO the saint ni noumer,everbody knows:A S 103:
Wewe unajuwa sana soka.
Na si mkurupukaji
Gang Chomba, wewe ni mpenzi wa timu ipi?
Alaf naona umemshikilia bango kweli Ronaldinho, akitokea aliyempiku Ronaldinho utasalimu amri au?
Soka ni sanaa inayochanganya sana, huwa sipendi sana kulinganisha wachezaji ubora wao, lakini siku Barca anampiga RM 3-0 pale Bernabau, Gaucho akiwa star of the show, nilimsikia jamaa mmoja nyuma yangu akisema ni bora angemshawishi mke wake aende kuangalia ile mechi maana angeona jinsi Gaucho anavyofanya yale mambo uwanjani, asingemzuia tena kwenda kuangalia mechi usiku.Mimi ni Mshabiki nguli wa AC Milan klabu yenye mafanikio zaidi hapa ulimwenguni.
Inapatikana VIA Turati hapahapa Milan.
Kuhusu Dinho Gaucho ni wazi kuwa yeye ndie nabii wa mwisho wa Soka na hatotokea mwengine mpaka Maulana atakapoiteketeza Dunia.
Naomba kuwasilisha hoja...
Comparing Ronaldinho and George Weah is an exercise in football ignorance, Dinho is Dinho others are just footballers!!Kuna siku nilicheki kipindi cha mahojiano cha George Weah na mwandishi, kuna baadhi ya clips walikuwa wanazionesha,Weah alicheza mipira ya ajabu sana, naona hata Ronadinho hajawahi kuvionesha akiwa uwanjani. Ronadinho kwa kweli hajamfikia Weah.
Dah ,mimi nimeangukia kwa Real Madrid na Timu ya Wenger kaka! Hivi Garrincha ana clips zake?Mimi ni Mshabiki nguli wa AC Milan klabu yenye mafanikio zaidi hapa ulimwenguni.
Inapatikana VIA Turati hapahapa Milan.
Kuhusu Dinho Gaucho ni wazi kuwa yeye ndie nabii wa mwisho wa Soka na hatotokea mwengine mpaka Maulana atakapoiteketeza Dunia.
Naomba kuwasilisha hoja...
Dah ,mimi nimeangukia kwa Real Madrid na Timu ya Wenger kaka! Hivi Garrincha ana clips zake?