Recent content by GAMBALESI

  1. G

    Smile -mifi mpya kabisa inauzwa kwa tshs 60,000/ tu

    SMILE -MIFI MPYA KABISA INAUZWA KWA TSHS 60,000/ TU KWA MAWASILIANO PIGA 0713394686 BEI HAIPUNGUI MiFi Now you can take your superfast internet with you ? Multiple users ? Pocket-sized ? Up to 10-hours battery life ? Use Smile MiFi with any handset, laptop or device that is Wi-Fi enabled
  2. G

    Ni kweli Fast Jet hawakubali kubadilisha tickets route?

    Ni kweli hawakubali kabisa kusikia habari za kubadlisha njia mm jana nime book dar -mwanza, badala ya mwz -dar , wakasema haibadiliki ng'o labda nisogeze mbele au nirudishe nyuma tarehe ya kusafiria then wanani chaji 70,000/= plus difference in ticket prices
  3. G

    Kazi ya kuuza duka la samaki na kuku, Tegeta

    Anahitajika kijana wa kike mwenye uzoefu wa kuuza samaki, Awe mkazi wa Tegeta Duka lipo Tegeta kibaoni Siku za kazi 6, Off siku 1. Mshara kwa mwezi Tshs 145,000/= . Kwa mawasiliano tuma Msg kwa 0784868826/0712796780
  4. G

    Kichuri

    Mwikizo ole mura ?
  5. G

    Kali ya mwaka simba yamnunua mchezaji wake ilomtoa bureeee

    KIUNGO anayeweza kucheza nafasi za ulinzi pia, Shomary Kapombe atarejea kwenye kikosi cha Simba SC msimu ujao baada ya makubaliano yaliyofikiwa baina ya klabu hiyo na AS Cannes ya Ufaransa. Habari za ndani kutoka Simba SC ambazo BIN ZUBEIRY imezipata, zinasema kwamba Mwenyekiti wa Kamati ya...
  6. G

    Hawa ndo yanga bwana - angalia jeuri ya pesa

    Uongozi waklabu bingwa ya Tanzania bara Dar Young Africans umeonyesha mfano wa kuigwa kwaviongozi wengine wa soka nchini siku moja baada ya kurudi kutoka Misriwalipoenda na timu kwenye mchezo dhidi ya Al Ahly. Kwa mujibu wa chanzo cha habari cha kuaminika kutoka ndani ya klabu hiyoni kwamba...
  7. G

    Nimemfumania mke wa rafiki yangu na ameniingizia zaidi ya 1,200,000/= kwa njia ya M-PESA

    we vipi mbona kwa kuuleta huu uzi humju jamvin ni sawa kumaanisha ya kwamba '' ndo usha mwambia '' kitindo mtindo'' unge taka kumstili unge kaa kimyaaa... Somo michepuko haina dili tukae main road
  8. G

    Azam TV - hatujagawa tajiri na masikini, kuanza rasmi november 2013

    Mahojiano kati ya saleh ally wa gazeti la champion toleo la 9/10/2013 na mkurugenzi mtendaji wa Azam Media mr Rhys Torrington Salehe ally (swali lini mnaanza) mkurugenzi- kwasasa tumeingia mkataba na tbci kurusha matangazo ya mpira (vpl) live jumamosi na jumapili , wataendelea kurusha hadi...
  9. G

    Nimeanza kujifunza uchawi!!!

    Ningependa utujuze ile topic ya - chuma ulete, hasa hasa mbinu zao na jinsi ya kujikinga na '' wachuma ulete''
  10. G

    Kodi ya simu yapingwa rasmi mahakamani

    Una line tatu zote hizo za nni?
  11. G

    Umemsikia Robert Mugabe!?

    Tena cha mpingo hicho
  12. G

    Hivi zoezi la utoaji wa vitambulisho ulikuwa una haraka yoyote kwa sasa?

    Zoezi Linaendelea kwa mkoa wa Dar Es salaam , Sasa ni wilaya ya TEmeke. Wanachukua alama za Vidole Nakupiga Picha ZINGATIA - Usivae Nguo yenye rangi Nyeupe au Blue.
  13. G

    King'amuzi cha ten sport msaada

    Mbona unahangaika na ving'amuzi, Wengine wanasema unalipia kujiunga tu hakuna malipo ya kila mwezi, kumbe ni janja ya kuingilia sokoni........... kuna ndugu yangu kajaza kabatini tokea enzi za GTV, DST, Easy Tv n.k sasa amanunua ungo hana presha tena Nunua DISH a.k. a Ungo ndo mpango mzima...
Back
Top Bottom