sema inaezekana BABU Mugabe anakula mambo mjue!.
Mwenzangu - wanavyoutetea udikteta!Ninyi mnaosema mugabe jembe, kichwa n.k mnaelewa tofauti kati ya malkia na rais?
Hilo jibu nimelipenda.
sema inaezekana BABU Mugabe anakula mambo mjue!.
Bali ni uongozi wa jadi ambao wazungu walipambana kuuondoa Africa ili mamluki wapandikizwe kirahisi.
Nakumbuka 2008 Mugabe alipohojiwa na waandishi wa habari mmoja wao akamwambia "Muheshimiwa si uchukue fursa hii kuwaaga wananchi wako" Mugabe akamjibu niwaage hao wananchi kwani wanaaenda wapi? hahaha Mugabe kwa majibu namkubali sana mzee huyuSipendi uditekta wa Mugabe, ila majibu yake yaninifurahishaga saaanaa and the guyz English is on point hadi raha kumsikiliza
NI KWAKUWA HAKUNA CHA MAANA ZAIDI ZIMBABWE ZAIDI YA MASHAMBA NA V2 VIDOGOVIDOGO KAMA ILIVYO TZ.WAZUNGU WANGEKUWA WAMESHAMNG'OA MADARAKANI BT MASLAHI KWA WAZUNGU HAKUNA. ANGALIA NCHI ZENYE MALI WANAVYOINGILIA(iraki,libya,iran nk)INAWEZEKANA MISRI KUNA MKONO WAO
Ninyi mnaosema mugabe jembe, kichwa n.k mnaelewa tofauti kati ya malkia na rais?
Sipendi uditekta wa Mugabe, ila majibu yake yaninifurahishaga saaanaa and the guyz English is on point hadi raha kumsikiliza
Hakuna Dikteta Africa ila Madikteta wanapatikana Ulaya na Marekani![/QUOTE
kwa hiyo hawa waafrika marais ambao wanataka kufia ikulu wanaitwaje?
The American said, "We were the first on the
moon!"
Mugabe said, "So what, we're going to be
the first on the sun!"
The Russian and the American looked at each
other and shook their heads. "You can't land
on the sun, you idiot! You'll burn up!" said the
Russian.
To which the Mugabe replied, "We're not
stupid, you know. we're going at night!"