Hawa ndo yanga bwana - angalia jeuri ya pesa

Hawa ndo yanga bwana - angalia jeuri ya pesa

GAMBALESI

Member
Joined
Mar 12, 2013
Posts
57
Reaction score
11
Uongozi waklabu bingwa ya Tanzania bara Dar Young Africans umeonyesha mfano wa kuigwa kwaviongozi wengine wa soka nchini siku moja baada ya kurudi kutoka Misriwalipoenda na timu kwenye mchezo dhidi ya Al Ahly.

Kwa mujibu wa chanzo cha habari cha kuaminika kutoka ndani ya klabu hiyoni kwamba viongozi wa msafara wa Yanga chini ya mkuu wa msafara huyo makamumwenyekiti wa klabu hiyo Clement Sanga umerudisha kiasi cha millioni 39 klabunikutoka kwenye fedha walizopewa kwa ajili ya matumizi kwenye safari yao nchiniMisri.


"Eeh bwana safari hii kweli tuna viongozi wenye nia ya dhati ya kuiongozavizuri Yanga, Sanga na viongozi wenzie walioenda Misri walipewa fungu la bajetikwa ajili ya matumizi yote ya klabu nchini Misri, lile fungu lilikuwa litumikelote, lakini tofauti na viongozi wote wa misafara waliopita, Sanga na wenzakewameweza kurudisha millioni 39 kutoka katika fedha walizopewa. Haijawahikutokea kwenye klabu hii kwa kweli, huko nyuma kitendo kama hichi hakikuwahikutokea, hapa klabuni kila aliyesikia kuhusu hilo jambo ameshutushwa.

"Zile fedha zilikuwa tayari zimeshatolewa kwa matumizi hivyohata kama wangeamua kuzila hakuna ambaye angeulizia, hawa jamaa ni waadilifu nawana mapenzi ya kweli na klabu," kilisema chanzo hicho cha habari.

 
Nafikiri pale Yanga kwa sasa kuna katibu msomi, ambaye ni mhasibu by professional na ni mtu mwenye pesa, hana njaa hivyo sishangai kusikia wamerudisha 39m. Huyo Bwana anafuata ethics zote za wahasibu na hawezi kujiingiza kwenye ufujaji wa pesa wa matumizi hewa. Kwa kifupi hataki kuharibu jina lake kwa haya mambo ya kupita.

Heko Beno Njovu.

Tiba
 
Mleta mada unajua kama kuna kitu kinaitwa "retirement" wangezila ingewabidi wafanye retirement kuthibitisha na kuonesha matumiz
 
Sembe at work!



Hizo hela zote walipewa wakafanyie nn?

Semeni tu mlipewa hizo hela mkamhonge refa ikashindikana! ikala kwenu!

Hivyo ilikuwa lazima mzirudishe maana hazikutumika sehemu zilipopangiwa!

Ndala fc bhana mnafikiri hatujui?
 
Hakuna club yenye pesa!! Acount za club ni nyeupe. Fuatilia handing over zao. Fedha ni za wafadhili na wadhamini. Fungua macho!!!
 
Sembe at work!



Hizo hela zote walipewa wakafanyie nn?

Semeni tu mlipewa hizo hela mkamhonge refa ikashindikana! ikala kwenu!

Hivyo ilikuwa lazima mzirudishe maana hazikutumika sehemu zilipopangiwa!

Ndala fc bhana mnafikiri hatujui?
Hilo mnajua. Msilojua ni kwamba kama wangedhamiria kuziiba, wangegawana na baadaye wakasingizia kwamba refa kawageuka.
 
Mleta mada unajua kama kuna kitu kinaitwa "retirement" wangezila ingewabidi wafanye retirement kuthibitisha na kuonesha matumiz
Kwani retirement ni ishu? Wangeweza kuzitumia na retirement ikafanywa vilevile....
 
Kwani retirement ni ishu? Wangeweza kuzitumia na retirement ikafanywa vilevile....

Retirement ni insue ndogo Sana
Wangapi wana-forge document example invoice!!
Ndo kilichompeleka msomali store kipindi kile
 
Mleta mada unajua kama kuna kitu kinaitwa "retirement" wangezila ingewabidi wafanye retirement kuthibitisha na kuonesha matumiz

Unazungumzia retirement Tanzania? Bongo hata receipt ya Ikulu ya Obama utapata ili ufanye retirement kwamba ulikuwa US kumbe hata Burundi hujaenda.
Hao jamaa wameonyesha weledi tu
 
Back
Top Bottom