Kazi ya kuuza duka la samaki na kuku, Tegeta

Kazi ya kuuza duka la samaki na kuku, Tegeta

GAMBALESI

Member
Joined
Mar 12, 2013
Posts
57
Reaction score
11
Anahitajika kijana wa kike mwenye uzoefu wa kuuza samaki, Awe mkazi wa Tegeta
Duka lipo Tegeta kibaoni Siku za kazi 6, Off siku 1.
Mshara kwa mwezi Tshs 145,000/= . Kwa mawasiliano tuma Msg kwa 0784868826/0712796780
 
Mkuu vp ulishapata uyo kijana au mana jirani yangu anaitaji kaz
 
Hizi ajira!Hata kuuza samaki na kuku inahitaji mwenye uzoefu?Haya sasa akina dada pelekeni Cv zenu mkauze samaki na kuku!
 
Hizi ajira!Hata kuuza samaki na kuku inahitaji mwenye uzoefu?Haya sasa akina dada pelekeni Cv zenu mkauze samaki na kuku!

Uyu jamaa katoa no za cmu tunapiga azipatikani cjui izo no zake ni no pleti no za gali mana zote azipatikani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom