Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,983
- 10,347
Wakuu hembu mnijuze kwanza.
Kuna mtu kaniambia kwamba ukiishalipia ticket huwezi kubadilisha route
mfano.
Nimebook: DAR - JNB -DAR
Na kutaka iwe JNB - DAR - JNB, inakuwa haiwezekani kama umeishalipia.So tiketi yako inakuwa imekula kwako pesa yote.
Hembu tupeni taarifa ili tuwe makini kwenye kubook,maana unaweza kukuta route yote umekula hasara kwa kisa tu cha kubadilisha route.
Na pia nasikia kwamba kila herufi ukibadilisha unalipia pesa, yaani ukikosea tu spelling baada ya kuwa umeishalipia basi unatakiwa ulipe zaidi ya 20,000 kwa kile herufi umeyokosea kwenye jina lako.
Wazoefu mtujueze wa ndege hizi,maana ndege nyingine kama PW changes zoote unafanya kwa supplemnts ya kawaida kwa baadhi yao hasa kwenye classes.