kitoromoni
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 424
- 210
- Thread starter
- #21
Ukinikaribisha hapo namaliza nyama za kuchoma zote bila huo ugali!
hiyo itakuwa hainogi mkuu,bila obhukima bhukangaru mambo hayaendi.........
Ukinikaribisha hapo namaliza nyama za kuchoma zote bila huo ugali!
yaani mkuu ukipata hii kitu alfajir,unaweza kutembea kwa miguu kutoka gamasara hadi mmazami ndo upande gari.full morali,full shibe,full kujiamini,full hata kamchezo ketu kare mura......
Kama nyie mnavokiita kisusio sie wakurya twakiita kichuri
obhukima bhwa amahemba!!!!
Mwikizo ole mura ?
kisusio ni damu mbona nyie kuna ugali
Sisi ile kitu tukishaitengeneza tunawezailia ugali
mura mshushie miss chagga nondo za kichuri mura,unaweza ukambeba mzima mzima sababu ya kichuri tu mkuu.unaweza pata mke mura
Tata Mura walaye, mimi tayari nimeshaoa nilimchukua mtoto wa pale Burunga ndiyo tupa nae hapa mjini tunapambana na maisha
hiyo itakuwa hainogi mkuu,bila obhukima bhukangaru mambo hayaendi.........
Kama nyie mnavokiita kisusio sie wakurya twakiita kichuri
Mkuu unachanganya madesa, kichuri sio kisusio.
Kisusio ni damu na kicchuri ni kinyesi ambacho hakijatoleaw nje!