nakubaliana na pdidy kwa yesu hakuna lisilowezekana luka 1:37, kuna jamaa yangu alimuomba mungu muujiza alioupata hata maswali hakuulizwa kwenye intervyuuu akaambiwa subiri nje, maasam tu uko commited kwa yesu yeremia 33:3, pia zaburi 125, kwa maelekezo zaidi tuwasiliane mungu ni mwema ukimuita...