Pikipiki inahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pikipiki inahitajika

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Braniac, Oct 20, 2010.

 1. Braniac

  Braniac Senior Member

  #1
  Oct 20, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 151
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pikipiki inahitajika
  Specifications:
  150-200cc
  Bei isizidi 2,000,000/=
   
 2. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Aina gani unataka mkuu, SUNLG? teh teh!,
   
 3. f

  furahaeliud Member

  #3
  Oct 20, 2010
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka cc 150 ipo T- better bei 1,500,000
  cc 200 aina ya shine rey bei 1,600,000

  for more information nicheki 0779000084
  bw. furaha
   
 4. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hata mimi nahitaji pikipiki ila naona hakuna mdau mwenye habari kuhusu hii kitu hapa
   
 5. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Hivi katika hizi pikipiki za Kichina ipi ambayo ni bora na ubora wake ni upi zaidi ya nyingine?
   
 6. Fredwash

  Fredwash JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2010
  Joined: Oct 27, 2009
  Messages: 594
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 60
  kaka kwa hiyo pesa yako unaweza ukapata YAMAHA nzuri... at least ongezea kidogo kama laki mbilie tatu... za kichina ni HEADACHE... nakushauri nendwa kwa viwanda vinavyoaminika... HONDA, YAMAHA na na vingine vya japan... nimennua YAMAHA CRUX 110 kwa 2,200.000 (milioni mbili na laki mbili)... a month ago
   
 7. s

  sahii New Member

  #7
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pikipiki inauzwa aina ya T-Better 150cc bei 1.2M,0655300551
   
 8. s

  sahii New Member

  #8
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Gari aina ya Toyota Starlet inauzwa 5.5M,ni la mwaka 1995,engine 1300cc,rangi ya silver,lina km 142,000.lipo kaika hali nzuri nimekuwa nalitumia kuja kazini na kurudi.kwa mawasiliano 0655300551 au 0755869500.Atakaye taka kuliona aje samora opposite na SAPNA Shop.
   
 9. Braniac

  Braniac Senior Member

  #9
  Oct 27, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 151
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kaka naomba uzoefu kidogo kwa mchina maana bei zao zinavutia sana na zinashawishi kuzinunua.
   
 10. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Unataka lini?mm ninazo nyingi ziko znz kwa sasa ntaenda kuchukua wknd hii lkn si mchina ni usa mtumba,ninazo zaidi ya 50
   
 11. Fredwash

  Fredwash JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 27, 2009
  Messages: 594
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 60
  sina uzoefu mkubwa binafsi kwa mchina... ila nimeona kwa wenye nazo watu wangu wa karibu... lifespam yake ikizidi two yrs shukuru mungu.. kwanza kinachozifanya ziwe hatari.. ni kuwa wachina wanaziingiza zikiwa separate.. then wanawachukua vijana na kuwaonyesha jinsi ya kuziassamble... ss hapo ndio shida... mtu hana utaalamu anachiwa aasamble na kufanyia wire-ring... unakuta makosa kibao yanayoweza kusababisha kuungua moto hiyo pikipiki. na pia hata vifaa vyake sio imara.. ni rahisi kukuta clutch imekatika au handle bars... kwa kifupi.. ni pikipiki ambazo hazihitaji rabsha ili zidumu.. na zisiwe na watumiaji wengi.. otherwise utajikuta six month huna pikipiki. na ndio maana bei ndogo.. used unaipata kwa hadi laki sita
   
 12. Braniac

  Braniac Senior Member

  #12
  Oct 29, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 151
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu nashukuru sana kwa mlisho nyuma.
   
 13. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #13
  Oct 31, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Mkuu, una pkipki aina gani, au ndy umejaza haley? unaweza kuweka specs na picha ya mashine kadhaa unazoona nzuri! Na bei tafadhali, masika yanakaribia huku kwetu inabd kupata mashine moja ya kukruzi milimani, thanx
   
 14. BUSARA6

  BUSARA6 JF-Expert Member

  #14
  Nov 3, 2010
  Joined: Jan 8, 2007
  Messages: 341
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Mimi ninayo xl 125cc from japan, kama unaihitaji ni pm. Au kama utahitaji yamaha mate 50cc na honda super cab ninazo nyingi tu huko zbar na naweza kukuletea kama upo dar.
   
 15. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #15
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hiyo yamaha mate 50cc ndo sh. ngapi niko interested
   
 16. BUSARA6

  BUSARA6 JF-Expert Member

  #16
  Nov 4, 2010
  Joined: Jan 8, 2007
  Messages: 341
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35

  1.3 mil
   
Loading...