World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Game over Portugal 7 N.Korea 0...............CIV wanatolewa rasmi sasa..................lol
 
Duh awa jamaa kweli Kim Jong Il atawasamehe kweli? si unajua mambo ya madikteta tena!

Ureno wako Baraza la Usalama, kuna kura inakuja kuhusu Korea hivyo huu ushindi wa Ureno ni ili isipige kura dhidi ya Korea ya Kaskazini pale UN kwenye suala la Nyukilia.... kwi kwi kwi!
 
Ureno wako Baraza la Usalama, kuna kura inakuja kuhusu Korea hivyo huu ushindi wa Ureno ni ili isipige kura dhidi ya Korea ya Kaskazini pale UN kwenye suala la Nyukilia.... kwi kwi kwi!

kwi kwi kwi.......katika njama za kuitoa IVORY COAST eeeh....
 
mie imebidi nicheke 7... hahahaha mnisamehe world cup mtu anafungwa saba ..hatari kweli kweli angalau nime-smile :A S-rose:
 
75'
goal.gif
GOOOAAAL! - Mark Gonzalez Chile scores with a header.
 
HII WC na timu za africa zinatia kichefuchefu wachezaji hawana umakini, nidhamu ya kucheza kitimu, hawana malengo wawapo uwanjani ilimradi kero , mi sasa kushabikia timu za kiafrika inanipa presha bora zote zitoke niangalie mpira kwa amani
 
Back
Top Bottom