Recent content by freethinker

  1. freethinker

    CUF kwa nini tumefanya vibaya sana katika uchaguzi mdogo wa Igunga

    Huwezi kupata ushindi kwa kuiponda CHADEMA. Kama vyama vikubwa vingeungana CCM ingeanguka mara moja
  2. freethinker

    Siri nzito;sali usiku wa leo kukemea kikao cha freemassons kesho

    free mansions are the readers we elect. be careful with your votes.
  3. freethinker

    Shibuda achangia bajeti ya waziri mkuu; ataka posho ziongezwe kwa jina jipya

    Apewe nafasi ya kujieleza na kutetea hoja zake mbele ya chama chake kwanza. Labda aliongea akiwa hajui wenzake wamekubaliana nini
  4. freethinker

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Mada nzuri,ila hujazungumzia masoko. Kuzalisha ni kitu kimoja mauzo na gharama za uzalishaji ni vitu vya msingi pia kujua.
  5. freethinker

    Mambo ya uswazi!

    Wanacheza. Ingekuwa kiukweli babu kule nyuma asingeendelea na business yake ya kunywa uji.
  6. freethinker

    Kauli ya Zitto kuhusu yaliyotokea Arusha

    Lakini sheria hazijavunjwa hapa wanasheria?. Hatuwezi kulishitaki jeshi la polisi?
  7. freethinker

    Hivi huyu lady gaga, mnamuelewa jamani??

    Binadamu binadamu, munataka kukumbukwa? Hata kwa kufanya mabo ya ajabu? ama kweli TAMAA kitu kibaya.Hivi tunakosa nini tusipojulikana na kila mtu? Hebu basi tujulikane kwa vitu vya maana. Wapo wengi maarufu wa kukumbukwa kwa kufanya vitu vya msingi. Anza leo basi in small scale.At your home or...
  8. freethinker

    Endapo uchaguzi mkuu ukirudiwa!

    Watachaguliwa tena, Huwezi amini watanzania mtaani walivyokuwa wanamlaani JK kabla ya uchaguzi. Lakini uchaguzi ukaja ,mabo yaleyale. Leo tunalia tena. Wadangavyika jamani. Miaka mingine 5 ya vilio. Tujipange tu na matatizo.
  9. freethinker

    Why Did Nyerere Support Biafra?

    Guys, Nyerere was human,lets agree there wrongs in the process of trying to make things right. In overall he did many rights to this nation. JF great thinkers thinks critically. To my brother Zitto, come back to your senses,we need you back. We don't know who you are anymore.
  10. freethinker

    Kutoka kwa wadau wa facebook... kwa nini CUF hawakutoka bungeni kama CHADEMA? pembuzi

    urasa hiyo ni excuse jibu hoja. Wewe kuwa JF kwa muda mrefu haimaanishi there are no other Great Thinkers outside there. There are greater that us. Let them come
  11. freethinker

    Nimeshindwa, Nahama Chadema

    Ukiwa CHADEMA huwezi kwenda CCM. Mind chemistry ya watu wa huku si ya namna hii. Trojan Horse you will never win.Our minds are higher than yours Kishongo
  12. freethinker

    Ni kweli Anna Makinda ni 'Mbabe'?

    Hicho kishindo wanachookiita kuna siku kitaisha. Watu wakichoka hata huo uchakahuaji utashindikana. Angalia Ubunge Nyamagana Mwanza. We need big difference in number of votes. Kuhusu huyo Mama tusitegemee chini ya hapo. Lazima amlambe huyo rahisi,ni mtandao ule ule,u-ccm hutaisha leo.
  13. freethinker

    Marando got votes from CHADEMA, NCCR-M and few CCM MPs. CUF voted for a CCM candidate

    I think something need to be done to bring opposition unity, else no hope in the parliament. CHADEMA and the rest need to workout the differences.
  14. freethinker

    GE2010 Hivi kwanini NCCR, TLP hawapatani na CHADEMA?

    Ndugu wapigania nchi,msiipuuze hoja ya Tanzania Kwanza . As Great Thinkers should not leave any stone un-turned. Jinsi nzuri ya kuwaelimisha watanzania kuwa hiyo si kweli ni kwa kuonyesha. You prove something to be wrong by showing what is right (Counter-Example). Suala si kuwa CHADEMA ni ya...
Back
Top Bottom