someone tell me: will makinda use rules and regulations to promote or suppress the debates within parliament?
someone tell me: will makinda use rules and regulations to promote or suppress the debates within parliament?
Duh . BASI KAJIFUNZE MAANA HUJUI.Kanuni iko wazi kwamba mbunge akiwa nje ya mbunge akiwa hafanyi kazi za kibunge halindwi na kanuni za mbunge.
Nafikiri ndio maana mama kashindwa kusema ingawa katika hili na mimi niko radhi kujifunza kutoka kwa wenye ufahamu zaidi.