Endapo uchaguzi mkuu ukirudiwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Endapo uchaguzi mkuu ukirudiwa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by SOKON 1, Jan 3, 2011.

 1. S

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Ni miezi miwili imepita tangu Rais achaguliwe ila yaliyofanyika ni machungu kwa wapiga kura kwani yamekuwa kinyume kama ifuatavyo
  1. Kupanda bei ya bidhaa mf gesi na mafuta, na umeme
  2. Kashfa ya Dowans na ununuzi wa rada
  3. Kurusu Arusha kuwe na mgawanyiko wa kisiasa ambao utaleta madhara siku za usoni
  Kutokana na sababu izo nilizozitaja kama endapo uchaguzi mkuu ukirudiwa Mh Jk kupata urais ni NDOTO kwani ni miezi miwili imekuwa BORA MAISHA kwa watanzania na sio MAISHA BORA YENYE KUJALI WALE WA TABAKA LA CHINI.
   
 2. j

  junior2008 JF-Expert Member

  #2
  Jan 3, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 528
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama mwaka jana wananchi walimnyima kura akachakachua atashindwa nini? Kumbuka bado tume ya uchaguzi ni yake, polisi, jeshi (Shimbo) na usalama wa taifa wote ni wake!! Kwa katiba iliyopo hata Rostam, Lowassa ama Mkono wamiliki wa Dowans ambao kodi zetu ndio zitakazowalipa Tsh 185 billion, wakigombea urais wanapata!!!!!
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,814
  Likes Received: 571
  Trophy Points: 280

  kwa tume hii ya Lewis Makame hata mbwa akigombea kupitia CCM atakuwa Rais
   
 4. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #4
  Jan 3, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 59,518
  Likes Received: 35,139
  Trophy Points: 280
  Watachakachua tena! kwa mbinu mbali mbali
   
 5. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Tusipoteze muda kujadili kitu ambacho hakiwezi kufanyika kwa maana kwamba uchaguzi hauwezi kurudiwa. Tunachopaswa kujadili ni mambo tunayoweza kujifunza kutokana na uchaguzi uliopita. Lengo liwe ni kujenga mazingira mazuri ya huko tuendako ili tusirudie tena makosa, kama yapo.
   
 6. S

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #6
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Maneno haya niliyasikia baadhi ya watu wakizungumza kwa uchungu baada ya kupoteza kura yao kwani hawakujua kinachofuata ila watakuwa wamejifunza na zawadi za mda mfupi( pesa,Tshirt, cap.....) ila mateso yake ni mda mrefu
   
 7. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #7
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,556
  Likes Received: 945
  Trophy Points: 280
  Kwani mkoa gani alishinda?:ranger:

  Tembelea Kilimanjaro,Arusha,Manyara,Simiyu,Mara,Mwanza,Geita,Shinyanga,Dar Es Salaam,Kigoma,Rukwa,Mbeya,Iringa na Kagera kawaulize wananchi tena wa kawaida tuu then urudi.
  Ni aibu Tupu kw huyo msafiri!!:ranger:
   
 8. freethinker

  freethinker Member

  #8
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watachaguliwa tena, Huwezi amini watanzania mtaani walivyokuwa wanamlaani JK kabla ya uchaguzi. Lakini uchaguzi ukaja ,mabo yaleyale. Leo tunalia tena. Wadangavyika jamani. Miaka mingine 5 ya vilio. Tujipange tu na matatizo.
   
 9. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #9
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Si unakumbuka kiongozi mmoja wa CCM alisema 2005 kwamba hata msukule ukigombea urais kupitia ccm utawashinda wapinzani??
   
 10. S

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #10
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hii ndio Tanzania
   
 11. S

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #11
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Ni kweli uyasemayo ila Arusha tayari tumeanza kugawana mitaa kwani kuna mtaa wa Chadema na hii yote imeletwa na mfumo mbovu wa uchaguzi Tanzania wa kupeana madaraka wao.
   
 12. F

  Fareed JF-Expert Member

  #12
  Jan 3, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kitu ambacho hamuelewi ni kuwa hata uchaguzi ukirudiwa mara 100 JK atashinda tu by any means necessary. Hii inatokana na mfumo uliopo kuruhusu wizi mkubwa wa kura kwa CCM. Tume ya Uchaguzi (NEC) inateuliwa na JK ambaye ni Mwenyekiti wa CCM hivyo ni dhahiri kuwa tume yenyewe itaundwa na makada wa CCM na vijana wa usalama wa taifa. Pia, sheria inasema kuwa NEC ikishatangaza matokeo ya Urais ndiyo final, hayawezi kupingwa mahakamani hata kama kulikuwa na wizi wa kura wa wazi kama ilivyotokea 2010.

  Ni dhahiri kuwa JK hakushinda uchaguzi wa 2010 kwa wingi wa kura. Alishinda kwa wizi wa kura, ndiyo maana kulikuwa na matatizo makubwa kwenye kutoa matokeo na hata matokeo yaliyotolewa na NEC yalikuwa tofauti kabisa na takwimu halisi za kwenye vituo vya kupiga kura.

  Tusidanganyane, hata JK, CCM na serikali yake waendelee kufanya madudu gani, kila uchaguzi ukifanyika chini ya mfumo uliopo basi CCM wataendelea kushinda kupitia kura za wizi. Huo ndiyo ukweli.

  CCM inatumia rasilimali za serikali kupiga kampeni na kukandamiza upinzani. Tido Mhando wa TBC ameondolewa eti kwa kuwa aliruhusu wagombea wa vyama vya upinzani waendelee na mdahalo baada ya CCM kuogopa kushiriki. Wanamtuhumu kuwa alitoa airtime kwa wapinzani wakati CCM wenyewe waliogopa kushiriki.

  Usalama wa Taifa unadhani kuwa jukumu lake ni kuhakikisha kuwa CCM inabaki madarakani. Lazima mfumo wote huu ubadilishwe kwenye katiba mpya ndipo kuwe na a level playing field ya kufanyika uchaguzi huru na wa haki.
   
 13. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #13
  Jan 3, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 9,994
  Likes Received: 2,176
  Trophy Points: 280
  Acha kuwatukana mbwa!
   
 14. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #14
  Jan 3, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,513
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Tuchachamae katiba ishirikishe wananchi wote..... ili 2015 tusiwe na muda wa kujuta bali kushangilia...natusi furahie eti JK amekubali kuundwa katiba angalia mbinu anayotaka kutumia '''''' KUUNDA TUME.....TUME??????????? Mnaijua tumeeeee? Si Mnakumbuka tume yake ya uchaguzi ilivyochakachua????'''''''''''''' tusirubuniwe wananchi tuamke tudai Katiba shirikishi katiba itakayotengezwa na wanachi wote kama walivyo fanya wakenya wa wazenji.....JK asitujaribu kabisa tunauchungu wengine....ASIFANYE mchezo na nchi yetu ooohooo!
   
 15. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #15
  Jan 3, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mabadiliko hayawezi kuletwa na watanzania kwa ujumla wao. Wachache wanahjtajika kuwa chachu na kujitoa mhanga.

  Swali siyo Kama Uchaguzi ukirudiwa jk atashinda. Ni wazi kwamba atashinda kwani hayo uliyoyataja kama machungu siyo vigezo vya upigaji kura tz. Yanatakiwa mapinduzi, harakati na kujitoa. Hivyo, swali lako lilitakiwa kuwa Kama watz tuko tayari?
   
 16. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #16
  Jan 3, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,127
  Likes Received: 2,359
  Trophy Points: 280
  Sina uhakika kama kuna namna nyingine ya kujibu zaidi ya ulivyojibu.....thx
   
 17. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #17
  Jan 3, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,127
  Likes Received: 2,359
  Trophy Points: 280
  You guys make me laugh all afternoon.....thx
   
 18. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #18
  Jan 3, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,968
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  PURE CRAP! kama huna cha kupost siukae kimya? Aggghhhh!!!!!
   
 19. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #19
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,394
  Likes Received: 1,550
  Trophy Points: 280
  CCM chama cha maudhi udhi
   
 20. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #20
  Jan 3, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,119
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 160
  mkuu,hapa mbwa atopata urais,maana tutampinga mahakamani! Natania,ila ni kweli,unajua inawezekanaje,hapa watz wote watagoma kumpigia kura mbwa na atatokea mwendawazimu mmoja atiki kwa mbwa na sheria inasema Simple majority wins,na matokeo ya Nec hayapingwi popote na hapo Tz watakuwa wamempata rais. Inaoneka ni ndoto ila kwa sheria zetu za kipuuzi itakuwa imekula kwetu! Pia si unakumbuka enzi zetu zile huku wanaweka picha ya mgombea uku wanaweka kivuli,chagua moja!alaf mwisho wanasema simple majority,wins!
   
Loading...