Kama Kikwete anauhakika kuwa CHADEMA inavuruga Amani ya Nchi basi aichukulie hatua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama Kikwete anauhakika kuwa CHADEMA inavuruga Amani ya Nchi basi aichukulie hatua

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by silver25, Mar 2, 2011.

 1. silver25

  silver25 JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kufuatia Kauli chafu ya Vitisho kwa Wananchi iliyotelewa na Raisi Jakaya Kikwete ya Kuwadanganya Wananchi kuwa Chadema wanavuruga Amani ya nchi, mimi kama mwana diplomasia Kauli hiyo nimeiona ni ya kijinga na hakuifikiria, na Kama nataiona Kauli hiyo ni a kweli YEYE NI RAISI kwanini asiwachukilie Hatua?

  Maana ya kuto wachukulia Hatua ni kwamba wao hawavurugi Amani ya Nchi, kwani wao pia ni wananchi wa Tanzania hii, KIKWETE FUTA KAULI YAKO
   
 2. M

  Mtu wa Mungu JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Umenena mwanakwetu Silver; Kikwete ameishiwa pumzi y kuongoza Tz, na sasa anaanza kutumia mbinu za kujihami ambazo hazitamsaidia. Nguvu ya umma inaruhusiwa na katiba na sheria kung'oa utawala dhalimu kama ilivyotokea Tunisia na Misri, na at work kule Libya; na sasa under maandalizi in Tz!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  Hekima ya kufuta kauli mkwere hana, maana anatumainia saaana nguvu za dola-anasahau kwamba katika Afrika dola kubwa ni ya Misri, lakini badala ya kuwa upande wa utawala nguvu hiyo ikawa upande wa walalahoi-pipooos; ndivyo itakavyokuwa Tz kwa vile hata majeshi wameonja adha ya dhuluma ya mafisadi!!!! Kikwete kama mzao wa ufisadi hana ujanja wa kujitoa katika kundi hilo linaloongozwa na Fisadi Papa Rostam Aziz mwana wa shetani mkuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 3. m

  mtimbwafs Member

  #3
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli wewe ni mtu wa MUNGU. Mimi naona huyu smiling killer ndiye anayetaka kutuvuruga na kutufanya tuwe watumwa kwenye nchi yetu!. Ajisahihishe kwanza na atekeleze ambayo wananchi tunayataka.
   
 4. silver25

  silver25 JF-Expert Member

  #4
  Mar 3, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kabisa Kikwete ameishiwa nguvu ya Kuongoza nchi yetu tuwe macho tukimtazama huyu mkwere situaribie amani ya nchi
   
 5. freethinker

  freethinker Member

  #5
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  'Smilling Killer' mhh what a perfect name....
   
 6. silver25

  silver25 JF-Expert Member

  #6
  Mar 4, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We muache tu yatamkuta ya Muamar Gadafi
   
Loading...