Habari zenu wakuu
Nimekuja kwenu nikiamini hapa Kuna wataalamu Wana sayansi bomba wenye ujuzi na maarifa mengi
Nilikua naomba ushauri kwenu nipo chuo na nimetumia muda mwingi kufanya tafiti na Moja ya tafiti ninayoifanya ni namna Gani nitafanya niweze badili Karatasi kuwa mbolea? Kwenye...

hii mikopo kausha damu balaa sana mam yangu alichukua pesa kidogotu kama laki tatu hivi kila siku analipa 5 elfu amekauka apa na mkopo hauishi anafanya kulipa faini tu mkopo upo pale pale Ni huzuni kwa kweli nimeuza mpaka kitanda kumsaidia
aisee hii movie ni kali hachsaw ridge action imetulia quality ya viwango pia main character anajua niwakumbushe huyu amecheza filamu ya spaiderman andrew Garfield anajua sana pia kuna movie kali za kivita kipindi iko ukiacha zile za kina Rambo kuna movie kama We were soulder ,wind takers...
sure movie tamu sana waingizaji wote wanatambua nini wanafanya hasa huyu Mahone mwamba anajua na amecheza filamu mingi kari {singe movie yupo filamu kari sana Ehrsium na ile ya Makobe jina limentoka ila utakuwa unaipata}
kwangu hizi ni moja filamu series za kizungu ambazo nimetazama na kunivutia
Merlin
prison break
seaker
game of thones
the walking dead
into the badland
SEE
Lord of yhe Rings
The Whitcher
na baadhi sizikumbuki ila hizo ndio bora wangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.