Hakuna movie kali ya kivita kuzidi Saving Private Ryan

Hakuna movie kali ya kivita kuzidi Saving Private Ryan

images (5).jpeg

Kwa wale ambao hamjabahatika kuona huu mzigo, ni heavy haswa,mind you mzigo huu ni wa 10 episodes hivyo sio wa kuangalia siku moja.
 
The Battle: Roar To Victory (2019)

Screenshot_20221101-230637.png


Humo ni noooma
Zinatembea Shaba
Inatembea Mizinga
Mabomu ya kutengwa chini
Njugu km zote
Mapanga pia yapo wanachinjwa watu sio kawaida katwa sana vichwa km una roho ndogo utalia peke ako

Alafu kuna hii
Hacksaw Ridge (2016)
Humu kuna kipande kimoja nilikipenda Jamaa wanakutana katikati ya uwanja wa vita wakiwa gizani huku kuna wanajeshi na huku kuna wanajeshi na ukipiga risasi wote mnakufa maana mtadunguliwa si hawawaoni sasa wanaweka risasi chini kisha wanachomoa visu unaambiwa vinatembezwa visu hapo wanachinjwa watu km kuku katwa sana makolomeo
Km una roho ndogo usiangalie hii movie

Screenshot_20221101-230537.png
 
Wazee kuna huu mzigo wa moto kwelikweli wataleban waliwawashia moto makamanda wa Marekani vita iliyopigwa apo sio ya kitoto maana makamanda wengine walifight huku wamevaa bukta tu za kulalia coz wateleban waliwashtukia asubuhi hutopoteza muda wako kuicheck hii
Screenshot_20221115-195523~2.jpg
 
BRIDGE TOO FAR
Hiyo kichapo kati ya warusi na Nazi pale warusi wanataka kuvuka daraja la mwisho waingie Berlin.
Kazi ikawa kuvuka hapo darajani.
Kidaraja kidogo tu lakini battle lilipigwa pale karibia wiki nzima.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
The Battle: Roar To Victory (2019)

View attachment 2404598

Humo ni noooma
Zinatembea Shaba
Inatembea Mizinga
Mabomu ya kutengwa chini
Njugu km zote
Mapanga pia yapo wanachinjwa watu sio kawaida katwa sana vichwa km una roho ndogo utalia peke ako

Alafu kuna hii
Hacksaw Ridge (2016)
Humu kuna kipande kimoja nilikipenda Jamaa wanakutana katikati ya uwanja wa vita wakiwa gizani huku kuna wanajeshi na huku kuna wanajeshi na ukipiga risasi wote mnakufa maana mtadunguliwa si hawawaoni sasa wanaweka risasi chini kisha wanachomoa visu unaambiwa vinatembezwa visu hapo wanachinjwa watu km kuku katwa sana makolomeo
Km una roho ndogo usiangalie hii movie

View attachment 2404597
aisee hii movie ni kali hachsaw ridge action imetulia quality ya viwango pia main character anajua niwakumbushe huyu amecheza filamu ya spaiderman andrew Garfield anajua sana pia kuna movie kali za kivita kipindi iko ukiacha zile za kina Rambo kuna movie kama We were soulder ,wind takers amecheza yule mwamba wa Ghost rider na nyingine karii nimebaatika kuzicheki
 
Noma kuna mwana alikuwa anaoga akasikia risasi ikabidi achukue bunduki akafight back akiwa uchi kabisa[emoji16]
Hahaha wataliban walikuwa na ambush za maana hasa final scene ilinivutia zaidi kuna mike wa ki Afghanistan aliwaambia wana waliokuwa sentry wataliban wanakuja wao wakamdharau ghafla tu vitu vikaanza kuunguruma ikawa kazi kazi.
 
We were soldiers
Enemy at the gate
Saving private ryan
Blackhawk down
Hacksaw ridge
Pearl harbor
Fury
 
Back
Top Bottom