SCi-Fi ndio zinaitwa Space Movies?kirefu Cha neno Sci-fi ni science fiction) ni yale matukio ya sayansi ya kubuniwa au ya kufikirika tu pa si na uharisia mfano upande wa space movies utaona matukio ya binadamu kwenda out of our space kama Mars, Saturn au nje ya solar system yetu kabisa kwa kutumia vyombo vyenye Kasi ya mwanga jambo ambalo halina ukweli science hiyo Bado hatujaifikia kwa Sasa hivyo sio space movie pekee utayaona mambo hayo Kuna movie mingi tu sio za space ila ni za science fiction.