Recent content by fredy fungo

  1. fredy fungo

    Simu kutosoma H+, tatizo ni nini?

    Kabla hujaenda mbali, umecheki access point names? Sio kila simu inaweza kucapture APN by default, nyingine zinahitaji manual configuration na pia inaweza kucapture na ikacupture APN ya 2g only. Mfano tigo unakuta uko kwenye tigoweb badala ya internet au halotel APN inatakiwa kuwa b-internet...
  2. fredy fungo

    Nimesahau Password ya CCTV Camera nifanyeje?

    Hik vision Hawana miujiza hao, reset ianze upya. Namna ya kureset, ichunguze vizuri ina kijisehemu cha kubonya na kitu chenye ncha kama pen, ukipaona press for like 30s to 1min ikiwa connected kwenye power. From there utakuta imerudi kwenye default settings then unaireconfigure upya, ikigoma...
  3. fredy fungo

    Msaada PC yangu imezima ghafla na haiwaki

    Ulijaribu kutoa betri na kuplug adaptor moja kwa moja ? Toa betri na upress power button kwa sekunde kadhaa kama 30 hivi kudrain out power fully then plug adaptor peke ake washa uone. Jiridhishe kwanza kama kuna power issue ndo uende kwa technicians
  4. fredy fungo

    MSAADA: Nahitaji flash file ya TIGO smart kitochi

    Natafuta sana hili file pia wakuu, maana ukidownload yako zipped. Au mwenye software ya kucrack hizi password za zipped file kama isunshare ambayo iko cracked pia msaada tafadhali
  5. fredy fungo

    Msaada: Jinsi ya kutoa google FLP kwenye simu ya android Tecno

    Same issue niko nayo kwa tecno spark 3 pro, nadhani ni issue za security kwa sababu nikijaribu kubypass kwa keyboard hainipi zile options zinazo takiwa.Au kama kuna anaejua sofware ya kutoa frp kwenye hizi latest mtk msaada tutani
  6. fredy fungo

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Nipeni sababu kwanini huyu mwalimu asiwe mlevi wa gongo
  7. fredy fungo

    Mitihani ya form 6-PCB: Ndiyo maana ufaulu unakuwa mkubwa

    Hamna paper hapo chief, tutakuja tupate watu wepesi sana huko mbeleni ambao kimsingi watashindwa majukumu yao
  8. fredy fungo

    Hii ndio faida ya kuwagawa mashabiki kwa itikadi, pole sana Zuchu

    Na hii bongo lazima wajifunze kubalance mambo, walikuja wenzake wakali kuliko yeye na wakapotea, muziki bila surpporters ni kazi bure, kakitaka kalie tena!
  9. fredy fungo

    Nashindwa kumuelewa huyu binti wa 20yrs

    Dhambi nyingine ushasamehewa kabla hata hujafanya! kula hako mkuu! dhambi ndogondogo tu hizo!
  10. fredy fungo

    Ushuhuda kilichonitokea Kona Bar Sinza, Dar es Salaam

    Yule wako ulikua umeshamlipa? na kama ndio kwahiyo ulimpia askari ndo akapata raha sio!
  11. fredy fungo

    Harmonize Sasa anazingua

    Huwa wanapiga wengi ndio, lakini huyu dogo hajafikia level za kuanza kugawa mashabiki kisa politics sor far bado hakijachanganya sana huko politics saiz anaweza toa nyimbo na jamaa wakamsahau vilevile kwenye ufalme wao.
  12. fredy fungo

    Anataka kunipeleka Polisi kisa na-date na Binti yake

    Kesi sijui ila dhambi tayari umeshazini
  13. fredy fungo

    Harmonize Sasa anazingua

    kawaulize akina Marlaw walitupigia pyee pyee hatuelewaniiii!..... kakapotea mazima na demu wake
  14. fredy fungo

    Leo amenishangaza sana huyu binti mdogo

    Nyama bure kabisa hiyo chief, si ungesogeza kwa stoo chap kimoja? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom