Msaada PC yangu imezima ghafla na haiwaki

prof Mose

Member
May 10, 2019
37
28
Naombeni msaada wenu laptop yangu ni Lenovo X240 ilikuwa nzima tu sasa nimeenda kuichaji baada ya muda nikajaribu kuiwasha ikagoma kuwaka
Unfortunately sina uzoefu nayo sana so nashindwa kujua la kufanya, naombeni msaada wenu tafadhali na natanguliza shukrani
 
Mkuu mm n mtumiaji wa PC tu Sina uelewa Sana sema ujafafanua je kabla ya kuchaj ulipiga window je haiwak kiaje Yan hai restart windows au power haiwak kabisa Kama power haiwak kabisa Inawezekana ilipiga short AC au kuna kitu kimeungua peleka kwa technician wa PC wako mjin weng tu inaonekana tatizo lako n hardware Si software
 
Nashukuru mkuu ni power ndo haiwaki kabla ya kuichaji ilikuwa fresh tu na window haikuwa na shida
 
Ulijaribu kutoa betri na kuplug adaptor moja kwa moja ? Toa betri na upress power button kwa sekunde kadhaa kama 30 hivi kudrain out power fully then plug adaptor peke ake washa uone. Jiridhishe kwanza kama kuna power issue ndo uende kwa technicians
 
Au kama anaweza kuifikia ilipo C-Mos battery aitoe halafu ashotishe termina ya pisituve na negative ili kuflash out remaining tokens
 
Muda inazima ilikuw kweny power!??.

Na umefany njia zote ulizo ambiwa ikagom..
Lenovo huwa zinakuwa na tabia yakuuwa control unit (CU).
 
Back
Top Bottom