MSAADA: Nahitaji flash file ya TIGO smart kitochi

Ndiyo jamaa alihitaji aoneshe ufundi wa kufungua mafile yenye password kwahiyo nimemtumia hicho file apambane nalo. Hiki kufile hata mm nakihitaji. Rejea post yangu hapo juu
Anhaa nmekusoma mkuu...kwaiyo unasubr alichakachue
 
Najaribu kuweka file hapa linanigomea. Linaniandikia Low memory.......
Ni file la Kb
Nitakucheki mkuu, nilikuwa safarini jana so asubuhi nimeona text notification.
 
Ninazo za tigo mkuu
20210605_214656.jpg
 
Natafuta sana hili file pia wakuu, maana ukidownload yako zipped. Au mwenye software ya kucrack hizi password za zipped file kama isunshare ambayo iko cracked pia msaada tafadhali
Kinachotia hasira kila file unayojalibu kupakua ina zaidi ya Mb 130 ukijalibu mafile 4 tu 1Gb inapiga alarm,.
 
Tafuta mtu wa tigo akuuzie hivi visimu vyao huwa vnazngua sn vnaishia kwny logo ukiwasha mafund wa kitaa hawawez ila ukipeleka tgo dk 10 tu tyr na ni bure kbs kwaiyo kama unataka file hiyo mtafute mtu wa tgo
 
Una maanisha tigo shop au?
 
Una maanisha tigo shop au?
Tigo shop ndo wana file za hzo simu unadhan wanaweza kukupa free ili uka unlock visimu vyao eti?
Yan hapo chonga dili na mtoa huduma wa tigo shop akuuzie hilo file la hivyo visimu upge hela maana tatzo la hivyo visimu ni kuwaka na kuishia njiani pia ku unlock line 1 iwe free
 
Umeeleweka,.
 
Back
Top Bottom