Simu kutosoma H+, tatizo ni nini?

Lihakanga

JF-Expert Member
Dec 17, 2016
4,829
6,376
Simu yangu ni Infinix Hot9 Play X680. Line ni Voda 4G. Inasoma mwisho 3G tu hata nikiwa mazingira yenye network yenye uwezo wa H+. Nimepitia settings zote muhimu sijagundua tatizo.
Naombeni msaada kutatua changamoto hii.
 
Enzi hizo nilipewa zawadi simu ya 3G lakini haishiki na kuishia kopo. Tatizo lilikuwa bands za nchi ilikotoka na Tanzania hazifanani.
 
Simu yangu ni Infinix Hot9 Play X680. Line ni Voda 4G. Inasoma mwisho 3G tu hata nikiwa mazingira yenye network yenye uwezo wa H+. Nimepitia settings zote muhimu sijagundua tatizo.
Naombeni msaada kutatua changamoto hii.

Pole sana. Hatua nyingine ni kubadilibadili line ili kujiridhisha maana unaweza kuta watoa huduma ya mtandao (voda,tigo, zantel n.k) ndo wanakuyeyusha. Kingine, ingia kwenye tovuti ya INFINIX, kampuni zote zina ukurasa maalumu (Community) ambako watumiaji husaidiana changamoto wanazokutana nazo kama ulivyoliweka hapa. Utashangaa swali lako lilishajibiwa tangu mwaka jana.
 
Asante, tigo na ttcl pia hazisomi.
Oooh! Pole sana. Sasa kama umejiridhisha setting zako zipo sawa, anza kufikiria ubora wa simu yako. Kama unaweza kumpata mwenye simu kama yako, mcheki kama na yeye anapata changamoto hiyo. Ikiwa yeye anapeta, weka alama ya kuuliza.
 
Mkuu 3G ni tech mama ndani yake ipo hio H+(Hspa+), H(Hspa), wcdma etc.

Hivyo kuna simu badala ya ku andika H+ zinaandika 3G ama nyengine 3.5G. Hili ni jambo la kawaida.

Fanya test yako mwenyewe ingia fast.com ama speedtest.net pima speed kama inazidi 1mbps hio si 3G ya kawaida ni H ama H+ bila kujali kwenye status bar inaonesha nini.
 
Hata iPhone mkuu hawatumii H wanatumia 3G na LTE
 
Kwa kupamdisha mnara sio shida jiulize je inakidhi huduma Kama haikidh fanya reset ya ili upate network ya mwanzo
 
Simu yangu ni Infinix Hot9 Play X680. Line ni Voda 4G. Inasoma mwisho 3G tu hata nikiwa mazingira yenye network yenye uwezo wa H+. Nimepitia settings zote muhimu sijagundua tatizo.
Naombeni msaada kutatua changamoto hii.
Kabla hujaenda mbali, umecheki access point names? Sio kila simu inaweza kucapture APN by default, nyingine zinahitaji manual configuration na pia inaweza kucapture na ikacupture APN ya 2g only. Mfano tigo unakuta uko kwenye tigoweb badala ya internet au halotel APN inatakiwa kuwa b-internet, mambo ni mengi sana kwenye haya makitu.
 
Screenshot_20210806-234816_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom