Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,377
Kafie mbali hukoo 








RIP RAS. Yaani V8 nyang'anyang'a limekuwa kifusi. Kifo mwanaharamu! Kila saa kila sekunde kila dakika kinatuwinda. Mungu na Atusaidie...
View attachment 1693835
we ulisikia wapi??View attachment 1693867
Nipeni sababu kwanini huyu mwalimu asiwe mlevi wa gongo
Wanataka kubadili katiba?!
John madhambi!