Recent content by Freddy81

  1. Freddy81

    JamiiForums Tanzania Azsky gprs for dstv, canalsat, aljazeera sport and fta. Its free no monthly subscription

    nipo tanga naweza kupataje mzigo
  2. Freddy81

    JamiiForums Tanzania Jaji Tendwa: Nitaifuta CHADEMA lakini CCM siwezi...

    Kwani John Tendwa ni jaji?
  3. Freddy81

    JamiiForums Tanzania Hili la NBC Je Huu si Udini Jamani?

    Wakatoliki wamekopa na watalipa kwa riba kama wateja wengine wanaokopa bank. Suala ni kuwaelewesha watu juu ISLAMIC BANKING jinsi inavyofanya kazi. Msichukulie kila jambo ni udini acheni upuuzi huu..
  4. Freddy81

    JamiiForums Tanzania Nahitaji simfatic forms software

    Wakuu wa kazi habri, Nahitaji simfatic forms software kwa ajili ya kazi ya kudesign html forms. au kama kuna mbadala wake nijulisheni pia
  5. Freddy81

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Eneo la ujenzi ni Tanga, na site haina mwinuko ni tambarare kabisa, kikubwa nataka kujua tu estimate za matofali,mabati na mbao
  6. Freddy81

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Jamani naomba kujua estimate ya vifaa vya ujenzi(Matofali,Mabati, Mbao) wa nyumba ya vyumba 3 vya kulala,sebule,dining,jiko, store, na study room..ukubwa wake ni mapana 16.5M na urefu 13.5M. Ningependa kujua.
  7. Freddy81

    JamiiForums Tanzania Kiswahili cha Tanga na swaga zake

    Haya ni baadhi tu ya maneno ya kiswahili ambayo ukiwa tanga utayasikia tofauti kidogo 1. Nakuja - Naja 2. Unaenda- waenda 3. unanichokoza- Wanchokoza 4. unataka - Wataka 5. Mama mdogo - Odo 6. Mama mkubwa - Mkuu Hayo ni baadhi tu, bado hiyo lafudhi yao yani utapenda kuwasikiliza.. Lkn je ni...
  8. Freddy81

    JamiiForums Tanzania Ifahamu system itakayotumika kusahihisha mitihani ya darsa la Saba

    Itarahisisha na kupunguza gharamaza kusaisha mitihani, ila wasiwasi wangu ni je tumefikia stardard hii ya kutumia system? sababu bado kuna idadi kubwa tu wanafunzi ambao hawajui kusoma na kuandika.. Nadhani tutafute njia mbadala ya kututoa hapa tulipo..
  9. Freddy81

    JamiiForums Tanzania Tanzania hata jiwe linaweza kuwa kiongozi

    hiii ndo changamoto kwetu sisi vijana, tusipobadilka sisi hatutafika kwenye nchi ya ahadi, wazee wetu wamegoma kubadilika sas it is our turn
  10. Freddy81

    JamiiForums Tanzania Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

    Ngoja tuone
  11. Freddy81

    JamiiForums Tanzania Mizengo Pinda atangazwa kuwa Waziri Mkuu tena

    Prof. Maji Marefu
  12. Freddy81

    JamiiForums Tanzania GE2010 Kikwete aanguka ghafla Jangwani...!

    jamaa anumwa wanatuambia swaumu....hwa watu vp bana...asisngizie swaumu
  13. Freddy81

    JamiiForums Tanzania GE2010 Kikwete aanguka ghafla Jangwani...!

    Anazingua tu... kipindi kile ilkuwa wakat wa kumaliza kampeni hapohapo jangwani...leo wakt wa kuanza kampeni hapo hapo jangwani....
  14. Freddy81

    JamiiForums Tanzania GE2010 Kikwete aanguka ghafla Jangwani...!

    Ameamua kufungulia anakunywa maji,,wanadai inatokana na mfungo wa ramadhani..karudi ataendelea na kampeni.. ila kakatisha swaumu
  15. Freddy81

    JamiiForums Tanzania Kikwete azungumza na wazee wa Dar; ajiandaa kwa mgongano na TUCTA

    Kiukweli jamaa alijibu hoja moja tu ya kima cha chini cha mshahara wa wafanyakazi wa uma.. hakuzungumzia kuhusu hoja nyingine zilizotolewa na viongozi wa tucta.. kama 1. Kuhusu punguzo la kodi katika mishahara ya watumishi wa umma kwa ukweli mtumishi wa umma analipa kodi kubwa kuliko hata...
Back
Top Bottom