NINAHASIRA
Member
- Nov 5, 2010
- 58
- 9
Kama ilivyo kawaida yake mzee wa Surpries mheshimiwa kanali dokta JEYKEY anatarajia kuushangaza umma leo kwa kutoa jina la Waziri mkuu ambaye watu hawataamini masikioni mwao! Tumeanza na sita sasa Subirini!
UPDATES:
JK akabidhi rasmi jina la Waziri Mkuu kwa Spika Anne Makinda!!
JINA LILILOPENDEKEZWA NI: Mizengo Peter Pinda (MB)
UPDATES:
JK akabidhi rasmi jina la Waziri Mkuu kwa Spika Anne Makinda!!
JINA LILILOPENDEKEZWA NI: Mizengo Peter Pinda (MB)