Ili upate mtaji kwa hali yetu hapa Tanzania kunaoption kadhaa.
Kwanza kabla ya mtaji ujiridhishe na aina ya kilimo unachotaka kukifanya , Gharama ya kulima mpaka mavuno, na zaidi ujiridhishe utamuuzia nani na wakati gani na risk zote along the way. Msisitizo zaidi kwenye kuuza maana hapo ndo...
Mkuu kwanza nikupongeza kwa kuchukua step kubwa kwenda benk kuomba mkopo kwani ni wachache sana wenye huo ujasiri.
Pili usikasirike kwa kutopewa mkopo in your first attempt kwani umejifunza kitu kikubwa kuliko unavyodhani, wengi tumepitia njia hiyo wala usikate tamaa.
Unapokopa Bank, dhamana...
Daaah wakati umekwenda wapi. Mwalimu Mdage na Katundu, Katumba II Primary school 1996 STD I. Ilikua unaanza kuandika chini, ukifuzu unapewa kibao cheusi na chaki then baada ya kufuzu hapo unaruhusiwa kutumia daftari na penseli.Ilileta hamasa ya kupractise ili uwe na mwandiko mzuri.
Endapo John Pombe Magufuli atafanikiwa kushinda uchaguzi hapo Oktoba 2015, basi safari yake ya kuelekea ikulu
itashabihiana sana ile ya bwana Vladimir Putin kwenda Kremlin mwaka 2000.
Hebu tujikumbushe hali ya URUSI kati ya mwaka 1996 na 1999, ikiwa ni kipindi cha pili cha utawala wa Boris...
Nina ndugu yangu anahitaji kubadilishana kituo cha kazi. Amepangiwa Mkoa wa ARUSHA ARUSHA DC ni mwalimu wa Sekondari anahitaji kwenda DAR-ES SALAAM KINONDONI DC au PWANI KIBAHA DC.
Aliye tayari ani PM tuwasiliane zaidi.
Apologise lady
I love the slogan, but I doubt it's just mear words.
Kama ladies wote wangeweza kuishi slogan hii, i bet sayari Tanzania would have been a better place to live as far as relation is concerned.
Be Independent,Workhard and do the keeping yourself, let it be a challenge to all...
Sure a great story makes a big impact especially when It touches your community...
I believe we can do it using our very own Swahili language, thinking globally and acting localy using our local content would make the difference.
i believe there is a lot to tell reflecting our community...
I came to realise animation movie needs team work, its so painfull when working alone..still learning the very basics of 3D modeling in blender..for those who wanna be a part of this race then let's role together as a team, will be sharing some learning material for those are interested and are...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.