Tuwaenzi walimu wa somo la Mwandiko

Tuwaenzi walimu wa somo la Mwandiko

Mwalim Mlabwa Ikuti Pr School Mby alikuwa mwalim bomba saana Mungu amlinde.
 
mwalimu mwakabonga la kwanza A ubungo pr enzi hizo ubungo plaza pori pale, mihogo twala kwa ali kikono long tym.

Mwalimu Manyi wa Ubungo National Housing Primary School na mwalimu Kihunrwa wa Azania Secondary School.

Mungu awabariki popote pale walipo.
 
Mwalimu Dr Hellen Neureter wa st john's elites columbus sitomsahau
 
Mwalimu Julius Nyerere pale pugu mwaka 1932 namshukru sana
 
Mwl mtega. Katugawia sana big g darasani huyu mama na ninamshukuru sana kwa upendo wake alifanya nipende shule sana
 
Daaah wakati umekwenda wapi. Mwalimu Mdage na Katundu, Katumba II Primary school 1996 STD I. Ilikua unaanza kuandika chini, ukifuzu unapewa kibao cheusi na chaki then baada ya kufuzu hapo unaruhusiwa kutumia daftari na penseli.Ilileta hamasa ya kupractise ili uwe na mwandiko mzuri.
 
Mwl Jekera, Mtoni Pr.sch. Dar. std I 1984 Nilikuwa namzimia sana huyu ticha, hasa alivokuwa mpole na jinsi alivyokuwa anauza ufuta mzuri wa motomoto. we acha tu.

umenichekesha mkuu tulikua tunauziwa pipi, big G, karanga, sambusa, ice cream na visheti ukinunua ndo unaruhusiwa kwenda nyumbani
 
Kati ya watu ambao hawalijua somo la Mwandiko basi ni wana JAMIIFORUMS, penye kiulizo ataweka nukta, penye nukta ataweka mkato, penye mkato ataweka alama ya kiulizo.
 
Mwalim Abednego, mgulani chini 1991. Nlianza shule bila kusoma chekechea lakini shukran Mwalim nliweza kusoma na kuandika nkiwa la kwanza. Pia mamahuyu alitukopesha sana big G na goodgood
 
Mwalimu mwandiko!! Sikumbuki jina lake halisi, Pangani primary
 
Mwalimu mnalihinga alikuwa ni mdada mrefu ,mwembamba hii ilikuwa mlale primary school mwaka 1998
 
Mwalimu Magufuli , Mwalimu Kikwete,
Mwalimu Mihayo wote kwa pamoja ni Mbuyuni primary school.
 
Back
Top Bottom