Name 1 reason for your "single status"

Name 1 reason for your "single status"

Maliza tu kucheka, maana umenifanya na mie nicheke. mweee!!

Hao unafuga tu, kakijiona kamekua kanaanza kubweka unakatimua kakawe ka mbwa koko kama sio paka shume kakapambane mtaani na wa aina yake.
Maisha yenyewe mafupi ya nini kujiua na mawazo?
 
Hao unafuga tu, kakijiona kamekua kanaanza kubweka unakatimua kakawe ka mbwa koko kama sio paka shume kakapambane mtaani na wa aina yake.
Maisha yenyewe mafupi ya nini kujiua na mawazo?

Weeeee!!! my bora kuchezea sharubu za babu huku ukisubiri kugawana mafao kuliko kuwafuga hao watu.
 
Single kwa maana hana mpenz kabisa hapa Bongo?? Sidhan, Anaweza akawa single coz hajapata mtu wa kueleweka ila kwa maana nyingine anao wa kumaliza show, awe me au ke..!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Bibi ninao wengi ila mie ninaemtambua ni mmoja.Kwani na wewe ni bibi?

Wakati ulipovunja ile ndoa yangu ulidhani sitopata mtu??????? babu yako kaniona roho ikamtoka.
Babu yako kakiona chombo hapa kafa kaoza, huduma zote mimi ndio natoa ruhusa hata kwa bibi yako kijijini.
 
Apologise lady

I love the slogan, but I doubt it's just mear words.
Kama ladies wote wangeweza kuishi slogan hii, i bet sayari Tanzania would have been a better place to live as far as relation is concerned.
Be Independent,Workhard and do the keeping yourself, let it be a challenge to all ladies in the house.It has to start with mindset and attitude the rest will follow.
 
Last edited by a moderator:
Wakati ulipovunja ile ndoa yangu ulidhani sitopata mtu??????? babu yako kaniona roho ikamtoka.
Babu yako kakiona chombo hapa kafa kaoza, huduma zote mimi ndio natoa ruhusa hata kwa bibi yako kijijini.

Ndoa ipi niliyokuvunjia?Hebu nikumbushe Apologise lady
 
Last edited by a moderator:
Still yet single bkoz I have not yet meet a woman who can challenge me in life....! Many of them ni small brain..
 
Kwanza siku hizi bora ufuge nyau atakusaidia kukamata panya stoo kuliko binadamu uambulie fedheha na matusi lol.
My mzima wewe??? siku nyingi sijakutia machoni au ushabanwa na mario wa kimasai lafudhi yakipemba???????

Una maneno mwanamke je yr brain iko big au ndiyo wale wameza memory afu ipp.
 
I love the slogan, but I doubt it's just mear words.
Kama ladies wote wangeweza kuishi slogan hii, i bet sayari Tanzania would have been a better place to live as far as relation is concerned.
Be Independent,Workhard and do the keeping yourself, let it be a challenge to all ladies in the house.It has to start with mindset and attitude the rest will follow.

Kila kitu kinawezekana mkikubali jitihada zetu na sio kuja kuanzisha nyuzi za kuwasema vibaya wanawake wanaojituma.
Wanaume wa JF/MMU wanaamini mwanamke maisha yake ni mapenzi tu.
 
Kwa hali ya hewa hii kuwa single ni changamoto sana.
 
Back
Top Bottom