Recent content by Frantz Charlz

  1. Frantz Charlz

    Vyuo vikuu; msingi wa ndoa mbovu

    Tatizo ni mazingira ya vyuoni na upeo wa kufikiri Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Frantz Charlz

    Naombeni mnipe msaada wa kimawazo

    Afanye kuapply maisha ni popote ndugu, lkn pia kumbuka hapo linaweza kuwa ndio daraja la kumfikisha ng'ambo Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Frantz Charlz

    Kuna watu wanajua kuigiza

    Sio kuigiza tu, watu hadi tuimba balaaa bluu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Frantz Charlz

    Umesoma vitabu gani mwaka 2018?

    Mm nimesoma;- 1. POWER OF POSITIVE THINKING 2.RICH DAD POOR DAD 3.THE UNCOMMON WOMAN 4.SECRETS OF NOT TO DIE Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Frantz Charlz

    Nilishasema mpaka Rais atoke upande fulani wa nchi, ndio hii nchi itaendelea

    Kila mtu ananjaa, lkn pia kumbuka urais unanunuliwa na obvious kila mtu anataka faida licha ya faida hela haitoshagi so ufisadi never end. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Frantz Charlz

    Vyuo vikuu; msingi wa ndoa mbovu

    Tuwaombee kwa MUNGU kwani si kosa lao jamani. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Frantz Charlz

    hivi kujamiiana kuna husiana vipi na kudumisha upendo?

    Kujamiana kunaongeza uhakika wakufikia lengo la mahusiano baina ya wapenzi,kwahyo kujamiiana ni kama kuhakikishiana uaminifu kwmb tunaaminiana ndio maana tumethubutu. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Frantz Charlz

    Hivi kuna Mwanamke Mrembo JF?

    Kidogo umeelewa[emoji28][emoji28][emoji28] Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Frantz Charlz

    Hivi kuna Mwanamke Mrembo JF?

    Yeye anajivunia kukupata mzuri wake, ukumbuke hilo Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Frantz Charlz

    Hivi kuna Mwanamke Mrembo JF?

    NB: Kwa mwanamke, msichana, mdada au bintie kukili udhaifu kuwa eti ni mbaya wakati umevaa Pete,au una mpenzi, mchumba, mume au bwana ni kumdhalilisha mwanaume wako so pls ladies tusidhalilishane. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Frantz Charlz

    Hivi kuna Mwanamke Mrembo JF?

    Ndio hivohivo sema ulinitafsiri kinamna yako Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Frantz Charlz

    Makapuku Forum

    Hujaniona tu, tena sio mguuni tu ninakamba hadi kiunoni Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Frantz Charlz

    Makapuku Forum

    Asantee mamdogo[emoji6] Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Frantz Charlz

    Hivi kuna Mwanamke Mrembo JF?

    No, sibishi kuwa unasura ngumu licha ya kuwa una sura ngumu lkn pia unaakili na ndio uzuri ulionao au [emoji847][emoji847][emoji847] Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Frantz Charlz

    Makapuku Forum

    Polee, hukufa?? maaana mm yaliniua kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom