hivi kujamiiana kuna husiana vipi na kudumisha upendo?

fierceman

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
553
757
habarini wana jf niende moja kwa moja kwenye mada...nimeona wengi wakizungumza kuwa pasipo kufanya mpenzi basi hapo hakuna mapenzi ya dhati na pia kama si mzuri kitandani basi mwenza wako hatakukimbia na hatokupenda...binafsi naamini kwamba kitendo cha mwenza wako kuchepuka eti kisa humridhishi kwa bed ujue mwenza wako ni mzinifu anapenda zinaa na si wewe mwenyewe na pia huwa najiuliza kama kujamiiana ni kipimo cha upendo basi makahaba wanaongoza kwa upendo...vipi nyie waonaje? namaliza kwa kusema kuwa ukimpenda mtu huwezi gundua wala ona mapungufu yake kwa maana upendo hufunika mabaya na madhaifu ya mtu...nawasilisha
 
Sawa, ukitaka.kujua umuhimu wa Kujamiana ndan ya ndoa , muishi mkeo kama Dada yako.

Alafu , Mwanadam alipewa kujamiana kwamalengo makubwa haya
wanandoa kufurahiana na kustarehe kupitia uumbaji wao.
Kuzaa.

Wanyama wao na kwakulinda Tafasiri sahihi ya Kujamiana, wao wakapewa Kujamiana wakat tu wa Kupeana mimba.
Ingekuaje kama wanyama nao wangejamiiana km wanadam ?? Bila shak ilikua ukiamka tu asubuh unakuta Kuku wanakulana,mbwa wanakulana, kwa jiran pale Ng'ombe wanakulana, bata ,mbuzi wanakula , kwa ufupi huyu angemla huyu ,huyu akamla huyu sasa ingekua kero.

Mwisho. Kujamiiana ni kitendo kinachohusisha Roho. Ukiachama na mwili. Kujaamiana ndipo Roho na Uhai unapoanzia, so hii kitu huleta Umoja wa kiroho...ndio maana, watu tunashauriwa kutojiana ovyo ovyo na watu mbalimbali sababu kuna Masuala ya Kiroho tunayobadilishana wakat wa kujamiaana.

Ukizoea mbunye, utakua mtu wa mbunye na waovyoovyo.
Ukizoea mashine. Utakua mtu wa mashine na waovyoovyo.

The Devil puts a spoonful of honey into neighbor's Wife
 
Ili kuwa na mapenzi ni lazima kufanya Mapenzi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeipenda sentesi ya mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa unaachaje kuzidisha upendo kwa mtu anayekupa mambo?

Kimsingi upendo wa kimapenzi/kimahaba unaelekeana sana na 'viungo' vinavyotumika kijamiiana...ndio mana unaweza kukuta ukimuona tu mpenzi wako idea ya kujamiiana inakuja kwa kichwa mixer kubanwa na haja

Ila nimehisi kama niko nje ya mada vile
 
naweka sawa kwenye neno kujamiiana sijamaanisha kuwa watu wawe wenza na wasifanye mapenzi lakini je leo hii inaonekana kuwa tendo la kujamiiana na major point in love of all ndio maana nataka kujua kama kuna kaukweli kekote kile
 
Na mimi najiuliza hivyo hivyo ni kwanini inaonekana kufanya mapenzi ndio kiwe kipimo cha upendo wa kimahusiano
 
Kujamiiana ndiko kunakotofautisha kati ya upendo wa mke na mume na ule wa kaka na dada!

- KANA -
 
Sasa unaachaje kuzidisha upendo kwa mtu anayekupa mambo?

Kimsingi upendo wa kimapenzi/kimahaba unaelekeana sana na 'viungo' vinavyotumika kijamiiana...ndio mana unaweza kukuta ukimuona tu mpenzi wako idea ya kujamiiana inakuja kwa kichwa mixer kubanwa na haja

Ila nimehisi kama niko nje ya mada vile
hahahaha
 
Acha kujistukia tupe maujuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
habarini wana jf niende moja kwa moja kwenye mada...nimeona wengi wakizungumza kuwa pasipo kufanya mpenzi basi hapo hakuna mapenzi ya dhati na pia kama si mzuri kitandani basi mwenza wako hatakukimbia na hatokupenda...binafsi naamini kwamba kitendo cha mwenza wako kuchepuka eti kisa humridhishi kwa bed ujue mwenza wako ni mzinifu anapenda zinaa na si wewe mwenyewe na pia huwa najiuliza kama kujamiiana ni kipimo cha upendo basi makahaba wanaongoza kwa upendo...vipi nyie waonaje? namaliza kwa kusema kuwa ukimpenda mtu huwezi gundua wala ona mapungufu yake kwa maana upendo hufunika mabaya na madhaifu ya mtu...nawasilisha
Kujamiana kunaongeza uhakika wakufikia lengo la mahusiano baina ya wapenzi,kwahyo kujamiiana ni kama kuhakikishiana uaminifu kwmb tunaaminiana ndio maana tumethubutu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kujamiiana ni jambo ambalo mtu halifanyi na kila mtu(ukiachana na umalaya) na katika mahusiano kujamiiana huwaweka wapendanao karibu zaidi na kwa kawaida kitendo cha kufanikiwa kuvuliana nguo kinayafanya mahusiano ya wawili hao kuwa ya kipekee.Uhaba wa kujamiiana hasa kama mmojawapo anaona kuna uhaba ni hatari kwa mahusiano husika.

Kuna wapendanao ambao kwao kukaa wiki bila kujamiiana ni sawa na kuna ambao hawawezi kuvusha siku mbili.In either way, kama upande mmoja utahisi kuwa mwenzake hamtimizii haja ni rahisi sana kudhania kuwa hapendwi ...
 
Kujamiana ni muhimu kwa afya ya mwili na akili

Back
Top Bottom