Kuna watu wanajua kuigiza

Mgirik

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
13,204
13,183
Huyu jamaa kunichekesha sana
 
Huyo dogo anafahamika kama Magufuli wa Mufindi! Ni habari ya mjini kwa sasa. Binafsi nilipomsikiliza kwa mara ya kwanza, nilidhani ni JPM. Hata nyota yake imeshaanza kung'aa kwa kasi maana hata mchana wa leo ameitwa kumuigiza Magufuli wakati alipokuwa anahutubia pale Mafinga stendi.

Akitumia vizuri fursa ya awamu hii ya "kiki" anaweza akajikuta maisha yake yamekuwa mazuri. Aendelee tu kujisogeza kwa wanasiasa ili aweze kitusua.
 
Hawezi kupata kiki za ku trend sana kulingana na comed anayoifanya,mi nimeanza kumfahamu zamani kidogo huyu chalii....kiki za sasa zinataka mtu anaeburudisha,huyu yupo talented tu,ila hawezi kiki kama Piere au Dr Shika,...kiki zinamfuata mtu ambaye anakua ni laughing stock...ila huyu anaigiza serious scenarios,...huyu anahamasisha na kufurahisha,ila type ya mtu kama Pierre ni naturally alivyo tu tayari ni Kichekesho,ila huyu dogo ni Artificial sio natural...I stand to be corrected!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa ana kipaji sana..sema aanze kuigiza watu tofaut tofaut af atoke huko aje dsm
 
Watu wanaoiga sauti za watu wala huwa hawafiki mbali. Wanafurahisha Hawachekesh.

Huwezi kuji brand kwa kuiga sauti au mambo ya mwingine. Unakuwa huna Originality.
 
Hawezi kupata kiki za ku trend sana kulingana na comed anayoifanya,mi nimeanza kumfahamu zamani kidogo huyu chalii....kiki za sasa zinataka mtu anaeburudisha,huyu yupo talented tu,ila hawezi kiki kama Piere au Dr Shika,...kiki zinamfuata mtu ambaye anakua ni laughing stock...ila huyu anaigiza serious scenarios,...huyu anahamasisha na kufurahisha,ila type ya mtu kama Pierre ni naturally alivyo tu tayari ni Kichekesho,ila huyu dogo ni Artificial sio natural...I stand to be corrected!

Sent using Jamii Forums mobile app
Povu kama loteeeeee. Kwema mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajuwa hii mikutano ya Rais kama script maana haiwezekani Rais katika msafara wake akaenda kusimama on spot alipokuwa jamaa barabarani halafu akamuona sio huyu ndio ananiigiza hebu njoo hapa upande uongee ni ngumu sana ila kama ilikuwa planned in advance sawa kama wakisema imetokea tu ngumu kuamini kuna drama nyingi tu katika siasa ni kama yale ya mkuu wa mkoa fulani eti mwenye kudai, Bank Manager, lawyer na alichukuwa mkopo wote imetokea wako katika sehemu moja ya mkutano wa hadhara na kuitwa mmoja baada ya mwingine kujibu ndio utajuwa hizi ni script zinatengenezwa ila quality sio nzuri.
 
Raisi aliambiwa kuhusu uwepo wa huyo jamaa...alaf mbna jamaa toka kitambo huwa anaigiza saut na wanamfahamu kama JPM wa Mufindi Kule mafinga......huwa anaalikwa kwenye hafla mbal mbal kutoa burdan akiigiza saut ya Jiwe.....juz kati alialikwa kwenye graduation ya shule ya sekondari mdaburo, nafkri hyo clip ya mdaburo ndo imekikk sana mtandaoni wiki iliyopita....Rais alitonywa na mkuu wa mkoa kwamba jamaa yupo mitaa hyo na jamaa pia aliandaliwa kuktana na jiwe na sio by accdent....na ndo mana jiwe aliuliza umejuaje Leo nitavaa kofia
 
Naitwa baraka magufuli..
Huyo dogo anafahamika kama Magufuli wa Mufindi! Ni habari ya mjini kwa sasa. Binafsi nilipomsikiliza kwa mara ya kwanza, nilidhani ni JPM. Hata nyota yake imeshaanza kung'aa kwa kasi maana hata mchana wa leo ameitwa kumuigiza Magufuli wakati alipokuwa anahutubia pale Mafinga stendi.

Akitumia vizuri fursa ya awamu hii ya "kiki" anaweza akajikuta maisha yake yamekuwa mazuri. Aendelee tu kujisogeza kwa wanasiasa ili aweze kitusua.
 
Sema wakati mwingine anapigia chama promo laiti angekuwa kile chama kingine alafu ndo aigize hivyo ndo ungejua hii serikali imeelemea upande gani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom