Vyuo vikuu; msingi wa ndoa mbovu

Vyuo vikuu; msingi wa ndoa mbovu

Nilkua namuamin sana mdogo angu wamwisho kabla kufika chuo. Sasa iv yko UD mwaka wa 3,
chuo kilivombadilisha familia yote tumebaki vinywa wazi, anakunywa pombe(kitu ambacho ukoo wetu hakuna anae kifanya). Kuhusu wanawake imekua nijambo lakujivunia kwake, tayari anamtoto na mwanamke mwenye ujauzito. Anamiaka 21 tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu sample hizo nimeziona kama mamia ndo nikasema pole yao wazazi
 
Vijana wa bodaboda maeneo ya malimbe wengi wameishia kunyang’anywa pikipiki na mabosi wao kwawkutokupeleka hesabu kamili maana vile vibinti vya pale SAUT vinachuna ni hatari. Na hivi vibinti vikikuotea utachunwa hadi ngozi ya pumb....u

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikiwaangalia wanafunzi wengi wa vyuo vikuu napatwa na walakini juu ya maisha ya mbeleni pindi watakapokuwa na familia; sijajua shida iko wapi, Je wanaingia chuoni wakiwa wadogo sana kiumri au ni hulka tu kwamba mtu akifika chuo lazima "ale bata"?

Wavulana wengi chuo kikuu huishi kwa kufuata mkumbo rika yaani inatokea tabia yake awali ilikuwa njema ila baada ya kuchangamana na aina fulana ya watu anajihisi unyonge kutofuata yale wenzao "wajanja" wanayofanya.
Wavulana wa chuoni huona kipindi ambacho wao wako chuo ndio kipindi ambacho ngono inabidi iwatambue wao ni akina nani (SIO WOTE) N a hili suala hupelekea wengi kutokuwa wavumbuzi wa masuala ya msingi ya kimaisha.

Mvulana akiwa chuo anapolalamika kuhusu boom kuwa halitoshi mawazo yake yote ni kutaka kufidia kwenye anasa hasa uzinzi
mimi nawaambiaga mtoto wa kiume ukipokea laki tano na sitini kila baada ya miezi miwili na ukalialia utakapoajiriwa wewe ni KILAZA MSHENZI
tusilaumu sana mostly unakuta ni inmaturity hali ya sasa hivi si kama zamani mambo yamekuwa mengi sana tufikirie malezi gani tutaolea watoto ambayo inaweza kuwa na sense ya misimamo ya msingi,maamuzi yalio bora,kuweza kuendana na mazingira in a positive way lakini shida ni kwenye malezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasikitisha sana...

Maisha ya chuo huonekanaga mazuri na matamu sana... ndiyo maana watu huyachezea...

Cc: mahondaw
 
kwa vyuo vya dar.. chuo ambacho kina wanawake wengi wanajiheshimu ni udsm ndio angalau...ila vyuo vinavyobaki ni drama tupu
 
tusilaumu sana mostly unakuta ni inmaturity hali ya sasa hivi si kama zamani mambo yamekuwa mengi sana tufikirie malezi gani tutaolea watoto ambayo inaweza kuwa na sense ya misimamo ya msingi,maamuzi yalio bora,kuweza kuendana na mazingira in a positive way lakini shida ni kwenye malezi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa ndo wazazi wa baadae mkuu yani tusipoongea hata kidogi mambi ni mabaya mbeleni huko
 
Nikiwaangalia wanafunzi wengi wa vyuo vikuu napatwa na walakini juu ya maisha ya mbeleni pindi watakapokuwa na familia; sijajua shida iko wapi, Je wanaingia chuoni wakiwa wadogo sana kiumri au ni hulka tu kwamba mtu akifika chuo lazima "ale bata"?

Wavulana wengi chuo kikuu huishi kwa kufuata mkumbo rika yaani inatokea tabia yake awali ilikuwa njema ila baada ya kuchangamana na aina fulana ya watu anajihisi unyonge kutofuata yale wenzao "wajanja" wanayofanya.
Wavulana wa chuoni huona kipindi ambacho wao wako chuo ndio kipindi ambacho ngono inabidi iwatambue wao ni akina nani (SIO WOTE) N a hili suala hupelekea wengi kutokuwa wavumbuzi wa masuala ya msingi ya kimaisha.

Mvulana akiwa chuo anapolalamika kuhusu boom kuwa halitoshi mawazo yake yote ni kutaka kufidia kwenye anasa hasa uzinzi
mimi nawaambiaga mtoto wa kiume ukipokea laki tano na sitini kila baada ya miezi miwili na ukalialia utakapoajiriwa wewe ni KILAZA MSHENZI
Kweli kabisa mkuu

The Devil puts a spoonful of honey into neighbor's Wife
 
Kabisa mkuu mtoa uzi hata hujakosea aiseee!!

Juzi nilikuwa Dodoma kuna chuo kimoja hivi kina watoto wa kike visu/wakali/wazuri sana.

Nilikaa wiki moja na siku hivi...

Wale watoto wanapenda kula chipsi kuku hatari sana aiseee!!

Nahisi ndo chakula chao kikuu wakiwa pale chuoni

Wacha niwe mkweli tu wakuu niligegeda/niliwagegeda sana.

"Enough of No Love"
Usitutoe kwenye reli hii mada ni ya watoto wakiume
 
usitoe povu sana hiyo ni moja ya hatua ya ukuaji unafanya ujinga wote kipindi cha chuo ukija kutulia unatulia kwani yote ushafanya , nyinyi mnaojidai mnatunza mpaka kwenye ndoa mkishaanz kamchezo mnatamani mbadili menu unakuta skills za kupata demu huna unaanza kutembea na ndugu zako au watoto wenu au house girl sababu uliruka hatua ya ukuaji , kwani unadhani michezo yote ya kijinga tuliyocheza utotoni ilikua haina faida ? kuna kitu unakipata kama vile usubutu kujiamini na problem solving skills wewe kaa hivi hivi then baadae utakuja kuona hasara ya kuruka step ya maisha utakuta mzee unafanya mambo ya ujana.

Hata kama unataka kuhalalisha uzinzi na anasa hizi sababu ulizotia ni nyepesi sana, wengi tumepita huko mavyuoni ila mienendo yetu ni ya kawaida na tuna misingi mizuri kila idara kuanzia kwenye mahusiano hadi kutafuta maisha
 
Back
Top Bottom