Vyuo vikuu; msingi wa ndoa mbovu

Vyuo vikuu; msingi wa ndoa mbovu

Huo ndiyo ukweli unaouma moyoni.

Maisha ya vyuoni yamechangia kuwaangusha baadhi badala ya kuwajenga vijana tulio wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wamejiangusha wenyewe wewe mbn kuna watu wanamiliki manyumba na magari na wameyapatia huko huko chuoni vitu vingije msiwe mnasingizia shetani. Universities student most of them very stupidy thinking about eating, sex and only doing assignment. Ni bora tu vyuoni warudishe sheria walizonazo sekondari wengi wanavika vyuo hawajitambui ngono zembe kwa sana. Wanawake kujiuza wanaume madem kwa sana huo ni ufala pambaneni wanaume. Kumbka wote mnapewa ela sawa ila kumbka ela mnapewa ya bum sawa ila w unahonga.

Mkuu boom dogo Sana kuishi hivyo
 
Kavisa mkuu

Hawa madogo ni wapumbavu mno halafu eti utakuta naye baada ya muda eti anachagua mwanamke wa kumuoa halafu amuheshimu ilhalimipangi ya maisha yake haiheshimu
 
Mkuu boom dogo Sana kuishi hivyo
Yaani mzee ukoba dogo analalamka boom dogo mzabue makofi ya uso maana hana viashiria vya kuitwa mwanaume

Wanapewa hela yote hiyo halafu matimizi yao ni ya kipumbavu mno
 
Wamejiangusha wenyewe wewe mbn kuna watu wanamiliki manyumba na magari na wameyapatia huko huko chuoni vitu vingije msiwe mnasingizia shetani. Universities student most of them very stupidy thinking about eating, sex and only doing assignment. Ni bora tu vyuoni warudishe sheria walizonazo sekondari wengi wanavika vyuo hawajitambui ngono zembe kwa sana. Wanawake kujiuza wanaume madem kwa sana huo ni ufala pambaneni wanaume. Kumbka wote mnapewa ela sawa ila kumbka ela mnapewa ya bum sawa ila w unahonga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa
 
Nikiwaangalia wanafunzi wengi wa vyuo vikuu napatwa na walakini juu ya maisha ya mbeleni pindi watakapokuwa na familia; sijajua shida iko wapi, Je wanaingia chuoni wakiwa wadogo sana kiumri au ni hulka tu kwamba mtu akifika chuo lazima "ale bata"?

Wavulana wengi chuo kikuu huishi kwa kufuata mkumbo rika yaani inatokea tabia yake awali ilikuwa njema ila baada ya kuchangamana na aina fulana ya watu anajihisi unyonge kutofuata yale wenzao "wajanja" wanayofanya.
Wavulana wa chuoni huona kipindi ambacho wao wako chuo ndio kipindi ambacho ngono inabidi iwatambue wao ni akina nani (SIO WOTE) N a hili suala hupelekea wengi kutokuwa wavumbuzi wa masuala ya msingi ya kimaisha.

Mvulana akiwa chuo anapolalamika kuhusu boom kuwa halitoshi mawazo yake yote ni kutaka kufidia kwenye anasa hasa uzinzi
mimi nawaambiaga mtoto wa kiume ukipokea laki tano na sitini kila baada ya miezi miwili na ukalialia utakapoajiriwa wewe ni KILAZA MSHENZI
peer pressure, mtiririko wa marafiki, faking life na kusahau ulikotoka ndio moja ya machagizo ya watu wa vyuo vikuu kufanya anasa zilizopita kiwango.
 
Lakini inakuwaje wapo baadhi ambao wanjitambua sana na tena wana miradi wanaoyoiendesha
 
KAMA ZILIVYO RANGI ZA SURA ZETU NDIVYO HATA TABIA ZETU ZILIVYO TOFAUTI, NA KAMA ZILIVYO TOFAUTI AKILI ZETU NDIO UTOFAUTI WA MAAMUZI YETU HUWA PIA.
 
mitoto Inatia hasira hii
 
KAKA nimeona tu niongelee ya watoto wa kiume maana hawa ndo wanaenda kuwa "vichwa vya familia" (kaazi kqeli kweli ) ila ya watoto wa kike ndo yanatisha mno nimeshindwa hata pa kunzia kuyaelezea
Wasichana wakiingia vyuo vikuu wanajifunza umalaya badala ya kujitafutia maarifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikiwaangalia wanafunzi wengi wa vyuo vikuu napatwa na walakini juu ya maisha ya mbeleni pindi watakapokuwa na familia; sijajua shida iko wapi, Je wanaingia chuoni wakiwa wadogo sana kiumri au ni hulka tu kwamba mtu akifika chuo lazima "ale bata"?

Wavulana wengi chuo kikuu huishi kwa kufuata mkumbo rika yaani inatokea tabia yake awali ilikuwa njema ila baada ya kuchangamana na aina fulana ya watu anajihisi unyonge kutofuata yale wenzao "wajanja" wanayofanya.
Wavulana wa chuoni huona kipindi ambacho wao wako chuo ndio kipindi ambacho ngono inabidi iwatambue wao ni akina nani (SIO WOTE) N a hili suala hupelekea wengi kutokuwa wavumbuzi wa masuala ya msingi ya kimaisha.

Mvulana akiwa chuo anapolalamika kuhusu boom kuwa halitoshi mawazo yake yote ni kutaka kufidia kwenye anasa hasa uzinzi
mimi nawaambiaga mtoto wa kiume ukipokea laki tano na sitini kila baada ya miezi miwili na ukalialia utakapoajiriwa wewe ni KILAZA MSHENZI
Tuwaombee kwa MUNGU kwani si kosa lao jamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom