Recent content by Franswar

  1. F

    Utawezaje kumuamsha aliyelala ukiwa umelala?

    Utawezaje kumuamsha aliyelala ukiwa umelala? Kamwe huwezi kumuamsha aliyelala ukiwa umelala ni lazima kwanza uwamke ndo uweze kumuamsha aliyelala. Hivyo hivyo kwenye biashara na ujasiriamali hii falsafa pia inatumika na kwa wale wanaotumia ndio pekee wanaofanikiwa katika malengo yao ya...
  2. F

    Neno la Shukrani

    Mwenyezi Mungu aendelee kukutia nguvu kwny kpnd hiki kigumu ulichokuwa nacho #mshana jr
  3. F

    Makonda mbona kimya kuhusu Roma Mkatoriki?

    Mkuu wa mkoa wa Dar kabla hajagombana na Clouds Medía alikuwa yupo sambamba sana na wasanii hata wakipata matatizo anawa support. Mbona hili la Roma kutekwa yupo kimya? wakati siyo kawaida yake or kugombana na Clouds ndo kagombana hadi na wasanii wa mziki? Au anajua kinachoendelea kuhusu...
  4. F

    THE ACCIDENTAL BILLIONAIRES- The founding of facebook: a tale of money,genius and betrayal

    Sean Parker bado ana share facebook nadhani kama 6% hivi.
  5. F

    Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

    Hii ni thread niliyoianzisha kwa ajili ya ya Jamii forum members wenzangu wanaopenda kutoa duku duku lao or kumuuliza maswali faizafoxy kwa sababu ataiona hii thread inayomuhusu yeye lazima atakuja kusoma na kujibu duku duku zenu na maswali yen. Kalibuni Sana. Binafsi mimi dukuduku langu juu...
  6. F

    Rais Magufuli awaambia Waandishi wa Habari wawe makini, hawako huru kihivyo...

    Leo mkurugenzi wa mawasiliano ikulu katika hafla ya kuwaapisha viongozi alimkalibisha mheshimiwa raisi aongee na wananchi lakini raisi akajibu hana la kuongea wakati si kawaida yake na ukiangalia asilimia kubwa ya watu leo wameganda kwenye TV zao wakijua raisi atatoa vijembe kama kawaida yake...
  7. F

    Peter Msigwa asababisha mwandishi kukatisha kipindi cha Mada moto

    Leo katika kipindi cha mada moto kimeisha kabla ya wakati wake kwani kilitakiwa kiishe saa 5 kamili usk badala yake kikaisha 4:56 usk na hii imetokana na maneno aliyokuwa anaongea mheshimiwa msigwa juu ya maadili ya viongozi wetu ambayo yalikuwa mwiba kwa serikali hivyo mwandishi kwa hofu yake...
  8. F

    Wasanii team Makonda Vs Clouds

    Mpaka sasa sijaona wasanii wengi wakipost kwenye account ya mitandao yao ya kijamii wakiipa pole Cloud's media kwa uvamizi waliofanyiwa na RC makonda kwenye studio zao jee hii inamaana wasanii wamegawanyika wengine team Makonda wengine team Cloud's?
  9. F

    Askofu Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

    Mayala cku iz kaishiwa cha kuandika yani uhandishi wa post zake umekuwa wa kitoto sana
  10. F

    Tundu Lissu Vs Robert Mugabe Quote

    Naona sasa maswali ya Tundu Lissu kwa mashahidi mahakamani yanaanza kutrend kama quote za Robert Mugabe mitandaoni. Kama unaweza tunga maswali ya Tundu Lissu atakayomuuliza shahidi mahakamani na majibu yake
  11. F

    Billionaire Samweli Lema wa Arusha Ndani ya Segerea

    Sasa ivi tender kalbia nyingi serikali inajipa yenyewe kupitia wakala wa majengo usishangae kuja kuckia kampuni za wazawa za construction kufilisika we c umeona wizara zinazohama kuja Dodoma wanasafirishwa na maroli ya jeshi badala ya kugawa tender kwa kampuni binafsi za usafirishaji ili...
  12. F

    Tupia tukio kubwa ulilolifanya kutokana na ulevi wa pombe

    Pombe siyo chai kuna siku nlkuwa npo nduki kinoma apo nmeshatupia nusu kreti la Safari ile naingia sitting room tu nikakutana na macho ya bimkubwa nikampa shikamoo ya ghafla, nilivyokaa kwenye kiti nikamwamkia tena yani apo nlikuwa nmejisahau kama nmemwamkia, nmeenda toi kuludi nikamwamkia tena...
  13. F

    Makonda Ulichofanya kwa wale Watoto Hakikubaliki Kisheria

    Fikiria kutumia akili na siyo matako
  14. F

    Makonda: Ukiona tumekuita ujue tumekusoma miaka kumi iliyopita

    Kwa majina yale ya watuhumiwa ya madawa ya kulevya yalivyoandikwa kiuchwala sidhani kama kweli mmewasoma miaka kumi iliyopita.
Back
Top Bottom